Hivi zile pisi kali zinazouza juice Kariakoo zinajiendesha zenyewe kweli?

Kwani si umesema wanafanya biashara ya juisi, kwanini uwawazie mabaya, hata akiwa na sponsor kuna shida gani Mkuu au tongoza mmoja uwe sponsor wake ili mambo yasiwe mengi bwashee
 
wale wanaotengeneza juice quality wanapiga sana hela kkoo pale hapachagui hapabagui demu hata akiwa mzuri au mbovu hawezi kwepa mishale yote
mawinga na matajir wanachapa tu
Wana chapa juice πŸ₯€ ama nini eleweka basii..

Na unipe mchanganuo kwabma wanapigaje pesa
 
Jinga jinga mwanaume unalelewaje kizembe
Kishoiya ndiyo maana kutwa kina mshiki wanagonga na nyundo hawasikiii utasikia oooh wajeuri, wanataka hela kuliko familia,, hiyo familia itakula mawe au mchanga, amkungute fimbo aseeh mbn katulia hivyo
Yesuuuuu waanguuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…