Torra Siabba JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 243 Reaction score 287 Mar 13, 2025 #1 Yanga walitoa saa 72 kwa bodi ya Ligi kuwapa ushindi kwenye dabi iliyoota mbawa, sasa nauliza muda bado haujafika?
Yanga walitoa saa 72 kwa bodi ya Ligi kuwapa ushindi kwenye dabi iliyoota mbawa, sasa nauliza muda bado haujafika?
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Mar 13, 2025 #2 Hizo saa 72 naona zimetumika kufunga viwanja na wakiongeza tena watafungiwa mpaka usajili
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,154 Reaction score 7,083 Mar 13, 2025 #3 Weka ushahidi wa hayo masaa 72 waliyotoa, au kuna mtu alianzisha mada ya kutunga wewe ukaamini bila kuutafuta ukweli.
Weka ushahidi wa hayo masaa 72 waliyotoa, au kuna mtu alianzisha mada ya kutunga wewe ukaamini bila kuutafuta ukweli.
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Mar 13, 2025 #4 Madihani said: Weka ushahidi Click to expand... Hakuna kitu kinauwa mafundi wasiojua kama mafundi umeme .We ulikuwapi
Madihani said: Weka ushahidi Click to expand... Hakuna kitu kinauwa mafundi wasiojua kama mafundi umeme .We ulikuwapi
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,154 Reaction score 7,083 Mar 13, 2025 #5 chizcom said: Hakuna kitu kinauwa mafundi wasiojua kama mafundi umeme .We ulikuwapi Click to expand... Nimerudia kusoma lakini sijaona kama post inaendana na mada husika.
chizcom said: Hakuna kitu kinauwa mafundi wasiojua kama mafundi umeme .We ulikuwapi Click to expand... Nimerudia kusoma lakini sijaona kama post inaendana na mada husika.
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Mar 13, 2025 #6 Madihani said: Nimerudia kusoma lakini sijaona kama post inaendana na mada husika. Click to expand... Ushaidi ulitaka ulitaka ushaidi wakati walitoa tamko la masaa 72 .
Madihani said: Nimerudia kusoma lakini sijaona kama post inaendana na mada husika. Click to expand... Ushaidi ulitaka ulitaka ushaidi wakati walitoa tamko la masaa 72 .
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Mar 13, 2025 #7 Zimeishapita, yangu haina mailage ya kuiamrisha bodi ya ligi wafanye wanavyotaka
C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,358 Reaction score 3,107 Mar 13, 2025 #8 Torra Siabba said: Yanga walitoa saa 72 kwa bodi ya Ligi kuwapa ushindi kwenye dabi iliyoota mbawa, sasa nauliza muda bado haujafika? Click to expand... Kuipanga Arsenal na Real Madrid kwenye robo fainali ni sawa sawa na kulipasua yai kwa kutumia nyuklia
Torra Siabba said: Yanga walitoa saa 72 kwa bodi ya Ligi kuwapa ushindi kwenye dabi iliyoota mbawa, sasa nauliza muda bado haujafika? Click to expand... Kuipanga Arsenal na Real Madrid kwenye robo fainali ni sawa sawa na kulipasua yai kwa kutumia nyuklia