Hivi zile saa 72 walizotoa Yanga bodi ya ligi hazijapita?

Hivi zile saa 72 walizotoa Yanga bodi ya ligi hazijapita?

Torra Siabba

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
243
Reaction score
287
Yanga walitoa saa 72 kwa bodi ya Ligi kuwapa ushindi kwenye dabi iliyoota mbawa, sasa nauliza muda bado haujafika?
 
Hizo saa 72 naona zimetumika kufunga viwanja na wakiongeza tena watafungiwa mpaka usajili
 
Weka ushahidi wa hayo masaa 72 waliyotoa, au kuna mtu alianzisha mada ya kutunga wewe ukaamini bila kuutafuta ukweli.
 
Zimeishapita, yangu haina mailage ya kuiamrisha bodi ya ligi wafanye wanavyotaka
 
Yanga walitoa saa 72 kwa bodi ya Ligi kuwapa ushindi kwenye dabi iliyoota mbawa, sasa nauliza muda bado haujafika?
Kuipanga Arsenal na Real Madrid kwenye robo fainali ni sawa sawa na kulipasua yai kwa kutumia nyuklia
 
Back
Top Bottom