okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,641
Habarini wanajamvi nadhani wengi wenu mshaziona hizi scania mpya (benz) za kampuni ya Bakhressa (Azam) nyingi zikiwa zinapiga route kwenda mikoani.
Kuna hela Mungu kanijaalia nataka niwekeze kwenye biashara ya magari ya mizigo, naombeni details kuhusu hizo scania (benz) za bakhressa, are those scania worth it? kwasababu yanaonekana kuwa yana quality nzuri sana..
Nawasilisha..

Those trucks each n kama 100M au 150M au below ya hapo kwa kila tractor either benz or scania pia itategemea unataka iwe na horse power ngapi most of them kuanzia 400-500 af n 6X2 n nyingi, so kwa trailers kuanzia mil 70 au below na inategemea unataka flatbed au skeleton kuna trailers manufacturers kama superdoll simba serin AM trailers etc so jipange we have company ya road Haulage for more info check me out
Nb: hzo gar waona zote n second hand.