Hivi zile Scania benz za kampuni ya Azam (approximately) zinauzwa shs ngapi?

Hivi zile Scania benz za kampuni ya Azam (approximately) zinauzwa shs ngapi?

Mkuu scania benz ndio nini??!!! Scania na benz (mercedes) ni vitu viwili tofauti kabisa mkuu...!!! Au unamaanisha kila lorry ni scania!!??.....yale yale ya nyerere wa kenya anaitwa nani?!)

tunaamini kila lorry ni scania, ila usihofu tutafika tu,
 
Those trucks each n kama 100M au 150M au below ya hapo kwa kila tractor either benz or scania pia itategemea unataka iwe na horse power ngapi most of them kuanzia 400-500 af n 6X2 n nyingi, so kwa trailers kuanzia mil 70 au below na inategemea unataka flatbed au skeleton kuna trailers manufacturers kama superdoll simba serin AM trailers etc so jipange we have company ya road Haulage for more info check me out
Nb: hzo gar waona zote n second hand.

UYU ATAKUMISLEAD. KAANDIKA UONGO TENA UONGO MKUBWA MCHANA KWA TAHARIFA YAKO HAYA MASHANGINGI YA MAFISADI WALIOKO SERIKALINI NI ZAIDI 100M HALAFU ILE MIGARI NDO IWR M100 TO 150M?? THUBUTU
NADHANI ELA ULONAYO ITATOSHA KUNUNUA SUZUKI CARRY Tu.
 
ushauri wa bure tafuta kiwanja maeneo ya kibaigwa,ubaruku,mtwara,mkuranga,mafia jenga hotel ka vyumba 10 self,kuwe na restaurant bed & breakfast kuwe na parking hutajutia!!!ipo siku utanikumbuka

muambie bwana sio kuenda kuhangaika na machuma ya ma milioni. yapesa ivi ma truck mnayaona mazuri sana yana hela mmmh yaki bumaga mbona utajutia mkuu achanayo fanya mengine biashara za magari zina misuko suko sana kama unata kuingia uko jiwekeze kwanza vizuri ndo uhangaike na ma gari kama baresa alivyo.fanya ivi ivi leo umekua tajiri mwakani una gongea hela ya sigara.
 
>Umepata mgao wa escrow nini?
>Unataka Scania or Benz?
>Unataka kichwa au hadi na trailer?
 
Yeah, bei ndo hyohyo!

kuna majibu yanatolewa na mtu kwa kujifurahisha, bila ya kujua watu wanapotezewa muda wao kwa kusoma vitu kama hivo! kama gari moja inauzwa kwa hela zote za escrow, kulikuwa na sababu ya serikali kupitia bunge, kamati na idara kama cag na takukuru kutumia hela ya umma kuhangaikia hela hizo?
 
Mkuu scania benz ndio nini??!!! Scania na benz (mercedes) ni vitu viwili tofauti kabisa mkuu...!!! Au unamaanisha kila lorry ni scania!!??.....yale yale ya nyerere wa kenya anaitwa nani?!)

Pia atujibu atasafirisha hizo gari kupitia Entebbe of JKNI au Mombasa of Dar-es-salaam?
 
Au Muhimbili ya Uganda inaitwaje?
Mirembe ya Burundi iko wapi?

Kwenye Shell ya Total au Shell ya BP! Kazi kweli kweli! Hii aliyoileta huyu mdau utakuwa aina mpya eti Scania Benz (bila aibu kabisa)!!!
 
mkuu tafuta 80mill hadi 95 na kama unataka tank andaa 50-60mill lenye quality nzuri

14060821861_d4fb2c1dba_n.jpg

Kama sielewi vile baadhi ya comments humu ikiwemo hii, ebu niweke sawa, 80-95Milli ya kitanzania ndo unamaanisha bei ya zile Mercedez Benz (Kichwa bila tela) au!
 
Mwaka jana dt dobie walikuwa wanauza dollar 150,000 horse pekee bila body. Na bei hiyo bado kodi.

Samahani, naomba kueleweshwa, unaposema 'horse pekee bila body' unamaanisha kichwa bila tela au kitu gani hapo?
 
UYU ATAKUMISLEAD. KAANDIKA UONGO TENA UONGO MKUBWA MCHANA KWA TAHARIFA YAKO HAYA MASHANGINGI YA MAFISADI WALIOKO SERIKALINI NI ZAIDI 100M HALAFU ILE MIGARI NDO IWR M100 TO 150M?? THUBUTU
NADHANI ELA ULONAYO ITATOSHA KUNUNUA SUZUKI CARRY Tu.

Kwenye kuhitaji herufi ''H'' wanatoa na kusikohitaji herufi ''H'' wanaweka. Elimu ya magumashi hii!
 
Habarini wanajamvi nadhani wengi wenu mshaziona hizi scania mpya (benz) za kampuni ya Bakhressa (Azam) nyingi zikiwa zinapiga route kwenda mikoani.

Kuna hela Mungu kanijaalia nataka niwekeze kwenye biashara ya magari ya mizigo, naombeni details kuhusu hizo scania (benz) za bakhressa, are those scania worth it? kwasababu yanaonekana kuwa yana quality nzuri sana..

Nawasilisha..

We mavi kweli ..scania benz ndio nini? Kwenda huko na akili zako za kupoga vidufu unashindwa hata kujua scania na benz ni brands mbili tofauti....
 
Mkuu unataka new brand au used?kama upo Dar hapo Victoria kama unaelekea mwenge upande wa kushoto kabla hujafika Victoria petrol station kuna muhindi anaitwa Kanji anazo scania vichwa na trailler pia,nlikua nakushauri upitie pale utapata maelezo ya kutosha kuhusu bei na aina ya gari inayodumu kwa njia zetu,ila scania best,hizo benzi,iveco utakuja kujuta.

Na hayo tuu mkuu kila la heri,kama wahitaji ushauri mwingine dondoka hapa ntakushauri bure.
 
UYU ATAKUMISLEAD. KAANDIKA UONGO TENA UONGO MKUBWA MCHANA KWA TAHARIFA YAKO HAYA MASHANGINGI YA MAFISADI WALIOKO SERIKALINI NI ZAIDI 100M HALAFU ILE MIGARI NDO IWR M100 TO 150M?? THUBUTU
NADHANI ELA ULONAYO ITATOSHA KUNUNUA SUZUKI CARRY Tu.

Nyau wewe chini pale nikasema hizo ako nazo sijui azam sijui nan nan n second hand ambazo unakuta zina kilomita hata laki 4 mileage kununua tractor unit mpya hapa tz pesa ming saana kuanzia 200M TSH inategemea model brand na engine Horse power.
 
Samahani, naomba kueleweshwa, unaposema 'horse pekee bila body' unamaanisha kichwa bila tela au kitu gani hapo?

Kile kichwa wanaita horse lakin sio hivo kitaalam inaitwa tractor unit na kinakua bila trailer, ukiweka trailer meng yetu hapa tz ndio tunaita semi-trailer,Kuna fulltrailer kuna inter-semitrailer pia kwa nchi zingine kuna super-link trailer truck
 
Back
Top Bottom