Hivi zile Scania benz za kampuni ya Azam (approximately) zinauzwa shs ngapi?

Hivi zile Scania benz za kampuni ya Azam (approximately) zinauzwa shs ngapi?

Kama una hela na ndio unaanza nunua HOWO brand ya mchina achana na scania, benz kwa sasa mpaka utakapokuwa kibiashara.
 
Kama una hela na ndio unaanza nunua HOWO brand ya mchina achana na scania, benz kwa sasa mpaka utakapokuwa kibiashara.

acha kumpotosha zile nazo gari au plastic au kwakuwa wew una duka la spare unataka aje anunue dukan kwako!
 
Kama una hela na ndio unaanza nunua HOWO brand ya mchina achana na scania, benz kwa sasa mpaka utakapokuwa kibiashara.

Sio kweli... Howo or any chinese brands ni best option kwenye fleet company yenye gari nyingi na very poor, drivers, exparts or maintanance...kwa wanao anza Howo bado ni ghali,
Ki uhalisia majina makubwa, Benz ,Volvo ,Scania , bado yanatamba.
 
Ulimaanisha "horse"? au terminology ya ma truck tusiyoijuwa?

Hizi elimu zingine ni mashaka makubwa sana, vijana siku hizi English yai, Kiswahili yai.

Hivi hizi shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

elimu ya ccm,uozo
 
Sasa mkuu unataka gari hata aina yake pia hujijui kama ni SCANIA au BENZ,,,
 
acha kumpotosha zile nazo gari au plastic au kwakuwa wew una duka la spare unataka aje anunue dukan kwako!

Anachomshauri ni kweli mkuu Scania kama huna hela kichefuchefu just imagine side mirror tu ni ths 350,000 na hapo sijakutajia spair nyingine. Labda kama atachukua Scania 113 na sio 124 au R420
 
Question:

Hello truckers,

As you noticed, I don't have any clue about those numbers, 6x4, 6x2, 8x4 when it comes to truck mods. So maybe one of you might be kind and explain me what are their meaning? Thanks

Cheers,
On Behalf of JF Members

Answer:
6x2=6 wheels, 2 wheel drive
6x4= 6 wheels 4 wheel drive
8x4= 8 wheels 4 wheel drive

AxB
A = number of wheels
B = number of driving wheels (those which are connected to the gearbox and which make the vehicle move forward/backward)
 
Hongera mkuu,ndio ninyi wa ESCROW nini.Haya,kila la heri.Ila Lorry zile zikiwa mpya ni ghali sana si chini ya TZ.SH. 500 million.Kwa uhakika lakini check kwenye website yao.Siijui, ila ni rahisi kuipata.Kwa kuanzia unaweza kutafuta'Models and Prices of Mercedes Benz lorries.'
Habarini wanajamvi nadhani wengi wenu mshaziona hizi scania mpya (benz) za kampuni ya Bakhressa (Azam) nyingi zikiwa zinapiga route kwenda mikoani.

Kuna hela Mungu kanijaalia nataka niwekeze kwenye biashara ya magari ya mizigo, naombeni details kuhusu hizo scania (benz) za bakhressa, are those scania worth it? kwasababu yanaonekana kuwa yana quality nzuri sana..

Nawasilisha..
 
Maintanance ya HOWO ni cheap kwa nilivyoona mimi kulinganisha na scania ukiacha scania 113. HOWO brand new ukiifuata mwenyewe China bei yake haipishani sana na used scania,volvo, benz za ulaya.

Sio kweli... Howo or any chinese brands ni best option kwenye fleet company yenye gari nyingi na very poor, drivers, exparts or maintanance...kwa wanao anza Howo bado ni ghali,
Ki uhalisia majina makubwa, Benz ,Volvo ,Scania , bado yanatamba.
 
UYU ATAKUMISLEAD. KAANDIKA UONGO TENA UONGO MKUBWA MCHANA KWA TAHARIFA YAKO HAYA MASHANGINGI YA MAFISADI WALIOKO SERIKALINI NI ZAIDI 100M HALAFU ILE MIGARI NDO IWR M100 TO 150M?? THUBUTU
NADHANI ELA ULONAYO ITATOSHA KUNUNUA SUZUKI CARRY Tu.

Mkuu uNathaminisha gari kwa ukubwa wa umbo!!!!
 
Back
Top Bottom