Hivi zile Scania benz za kampuni ya Azam (approximately) zinauzwa shs ngapi?

Hivi zile Scania benz za kampuni ya Azam (approximately) zinauzwa shs ngapi?

Spelling za horse watu huanza kuzijuwa wakiwa vidudu si Sekondari. Unaonesha ni mjinga tu kwa stupid argument yako.

Huo ni ujinga wa kuzaliwa na hakuna shule inayofundisha kuuondoa ujinga.

Sawa mwalimu wa kiswahili shule ya msingi kigogo sambusa.
 
Maintanance ya HOWO ni cheap kwa nilivyoona mimi kulinganisha na scania ukiacha scania 113. HOWO brand new ukiifuata mwenyewe China bei yake haipishani sana na used scania,volvo, benz za ulaya.

Kibiashara howo au brand yeyote yenye agent hapa Tanzania hawawezi kukuuzia China kwani watakuwa wamekiuka mkataba. So hakuna namna commission ya agent haikwepeki mkuu!
 
Maintanance ya HOWO ni cheap kwa nilivyoona mimi kulinganisha na scania ukiacha scania 113. HOWO brand new ukiifuata mwenyewe China bei yake haipishani sana na used scania,volvo, benz za ulaya.

Watu wananunua howo kwa kuwa hazina maintanace kubwa , sababu ni mpya , sijaona howo itafananaje ikifikisha kilometa milioni moja, lakini , trust me hizi used scania na volvo unazoziona kwetu nyingi zilishafanya zaidi ya kilometa milioni moja , na yet zinakuwa na maisha yaliyobaikia ...
 
Zile Za Bakhresa ni Mpya kabisa,Watu tupo tofauti,wengine hata baskeli ni mtihani kununua.

Mtoa mada jipange,mpya hadi tz ni 1.2b

Scania mpya inauzwa milioni 200 wazee hazifiki milioni 600...used inategemea na km ilizotembea...ukitaka faw/howo zinacheza kwenye 100-120mil na ukitaka tata zinacheza kwenye 150mil na hapo nazungumzia kichwa tu
 
Wakati mimi mwaka wa tatu huu napigania hela ya baiskeli japo ya phoenix....wengine wanawaza kununua mabenzi......kweli dunia duara.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
We mavi kweli ..scania benz ndio nini? Kwenda huko na akili zako za kupoga vidufu unashindwa hata kujua scania na benz ni brands mbili tofauti....
Ulikuwa na sababu gani ya kumtukana mtu...asiyejua
Kitu badala ya kumuelimisha.......matokeo yake unaonekana wewe ndio mwehu.......busara inahitajika kabla ya kukurupuka......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Stor za vijiweni hizi et 600 hata scania ile imetoka mwaka jana R730 bei ake haifiki hivo hata ukute 0 Mileage.

Mkuu acha madharau kwa washkaji wa kijiweni....mbona hata bungeni waheshimiwa huwa wanaongeaga pumba kushinda tunazoongeaga kijiweni......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mkiambiwa muachie nchi kazi imewashinda mnaanza kutoa mapovu hapa,ndy elimu inayotolewa na serikali ya waoM hiyo

kwani hujui?..
Ulimaanisha "horse"? au terminology ya ma truck tusiyoijuwa?

Hizi elimu zingine ni mashaka makubwa sana, vijana siku hizi English yai, Kiswahili yai.

Hivi hizi shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Ulimaanisha "horse"? au terminology ya ma truck tusiyoijuwa?

Hizi elimu zingine ni mashaka makubwa sana, vijana siku hizi English yai, Kiswahili yai.

Hivi hizi shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Si ni hizi shule za kata za Mjomba wako Baba Riz one, tuna shida ya kiingereza we acha tu.
 
HOWO inawezekana sijui FAW. Nimefanya hivyo kwa HOWO.

Kibiashara howo au brand yeyote yenye agent hapa Tanzania hawawezi kukuuzia China kwani watakuwa wamekiuka mkataba. So hakuna namna commission ya agent haikwepeki mkuu!
 
Wakati mimi mwaka wa tatu huu napigania hela ya baiskeli japo ya phoenix....wengine wanawaza kununua mabenzi......kweli dunia duara.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kijana huwezi kamwe kufanikiwa kwa kushinda jamiiforum na kupiga majungu ya siasa, I guess utakuwa ni Chadema wewe coz ndo vijana wasiotaka kujishughulisha kazi kulalamika tu maisha magumu, mtu akifanikiwa Kwao huwa ni mwizi! Akili mgando kweli 3 years unakosa hata hela ya phoenix! Shame on you
 
Mkuu hili si jukwaa la siasa please unatuondoa kwenye mada!
 
Kijana huwezi kamwe kufanikiwa kwa kushinda jamiiforum na kupiga majungu ya siasa, I guess utakuwa ni Chadema wewe coz ndo vijana wasiotaka kujishughulisha kazi kulalamika tu maisha magumu, mtu akifanikiwa Kwao huwa ni mwizi! Akili mgando kweli 3 years unakosa hata hela ya phoenix! Shame on you

Asante sana mkuu...naona leo ulikuwa na hamu ya kutukana na kweli umefanikiwa.....
Ninachokukumbusha ni kwamba aliyekujaalia wewe mgao wa escrow ndio katunyima sisi....wakati wewe unawaza ule chakula cha aina gani ,wengine tunawaza tutakula nini maana tumakula tunachopata na sio tunachotaka....
Wakati wewe unatupa chakula kilicho lala.....
Kuna mtu mwingine anakufa na njaa....
Wakati wewe unamnunulia kimada wako zawadi ya gari, kuna mtu anakaribia kukata roho kwa kukosa hela kwa ajili ya matibabu......wakati wewe unamwagilia maua maji safi na salama kwa kunywa ,kuna mtu anakunywa maji ya mtaroni.....
Ninachokukumbusha ni kwamba duniani hatulingani........hayo maneno uliyoyaandika ni ya mtu aliyevimbiwa na shibe na kamwe hatamkumbuka mwenye njaa.....wakati wewe unanishangaa kumaliza mwaka wa tatu kudunduliza hela ya baiskeli kuna watu wanamaliza mwaka wa nne wanatafuta hela ya kandamabili.......hii ndio dunia....
 
Those trucks each n kama 100M au 150M au below ya hapo kwa kila tractor either benz or scania pia itategemea unataka iwe na horse power ngapi most of them kuanzia 400-500 af n 6X2 n nyingi, so kwa trailers kuanzia mil 70 au below na inategemea unataka flatbed au skeleton kuna trailers manufacturers kama superdoll simba serin AM trailers etc so jipange we have company ya road Haulage for more info check me out
Nb: hzo gar waona zote n second hand.

Mkuu habari

Hizo trucks ni mpya bana. Hizo Volvo FH 2014, Volvo FMx all hizo ni latest series from volvo latest technology. Pia anazo Volvo FH na FM ya former series brand new. Mercedes Benz Actros alizokua nazo ni brand new but of former edition in the series. Scania anazo brand new both fourth and fifth series. Thamani yake si chini ya 600m for one tractor only, trailer anatumia za serin from Turkey kama sio Italy. Superdoll has no business with those trailers besides trailer zake "Doll" German technology ni heavy duty tofauti na serin zipo light for more payload. And for your information all those trucks ni 6 x 4 not 6 x 2 like those you operate in your company. Anazo mpaka sinotruk za china nazo brand new. Zote hizo anatumia for hauling across the country and beyond borders

Ukiachilia na yale ya town trip FAW and other trucks
 
Back
Top Bottom