Hivi zile zaidi ya millioni mia tano za yule mshindi wa Big brother zimeyeyuka?

Hivi zile zaidi ya millioni mia tano za yule mshindi wa Big brother zimeyeyuka?

Ningekuwa mimi nimezipata hizo Mln.500, ningeweka fixed deposit angalau Mln.400 then hiyo moa mia ningeweka kamjengo ka kistaa, na kamkoko fulani kakali ka kijapan, then kila mwaka natengeneza Mln 20 kama faida kama rate ya profit ni 5% per annual, kama kwa mwezi ni Mln 1.6, sio haba huchoki.
Ila kwa kuwa ni pesa zisizo na jasho, wasanii hawa hudhani hawatafulia.
Easy said than done
 
Amefungua kampuni kubwa ya kupiga picha instagram , picha za kulamba lamba mdomo,picha za boska boska n.k
 
Back
Top Bottom