Hivi zile zaidi ya millioni mia tano za yule mshindi wa Big brother zimeyeyuka?

Hivi zile zaidi ya millioni mia tano za yule mshindi wa Big brother zimeyeyuka?

Yani huyu ana threads zaidi ya 5000 lakini karibia zote ni za ukosoaji tu kumbe,...hebu uwe unatoa mada zenye misingi ili hata wingi wa threads zako uwe na maana.

Achunguzwe labda yupo na matatizo ya kiakili maana si jambo la kawaida mwanadamu kuwa na hoja hasi tuu,
 
Tatizo wabongo tulio wengi hatuna mipango. Tupo kama hatupo vile. Kwa tulio wengi, tunahisi million mia tano ni nyingi kiasi ambacho unaweza ukawa unatumia bila kuizungusha na ikabaki. Hali halisi haipo ivo.
 
Interest ya fixed deposit huwa zinaenda hadi 10% na ukikomaa fresh hadi 13% inategemea na bank lakini.
Kwa iyo mfano ukaweka 400mln kwa miezi mi2 return yake inakuwaje

Kama ni mimi ningekuwa nafanya na biashara ya forex deal inalipa saana..kila siku unaangalia soko lipoje mtaani
 
Tatizo wabongo tulio wengi hatuna mipango. Tupo kama hatupo vile. Kwa tulio wengi, tunahisi million mia tano ni nyingi kiasi ambacho unaweza ukawa unatumia bila kuizungusha na ikabaki. Hali halisi haipo ivo.

Mwakibete 500milion ni nyingi sana tena sanaaaa, endapo utaweza kuimiliki hiyo pesa sio ikumiliki wewe,pili sisi Waafrika akili ya kuithamini pesa hatuna, utakuta mzungu anaenda dukani anakuta kitu kinauzwa 19.99 usd labda basi akitoa 20 usd chenji aachi yaani hile cent moja aachi , lakini sisi sasa mtu unamrudishia cent moja chenji yake anaweza kukupiga nao usoni , anaona kama umemfedhehesha vile kumrudishia hile cent , tuithamini pesa uthamani wake. Ukiweza kujua uthamani wa pesa basi wewe utafanikiwa tuu. Angalia hata wafanyabishara wakubwa wa Kihindi , wanaingiza mamilion kwa siku lakini kama nyumbani kwake ratiba ya kula ugali basi atakula huo huo ugali , Sisi sasa mtu akiingiza milion basi nyumbani tena Ugali utakuwa historia , atabadili sehemu za kula na za starehe zote, lakini huyo huyo Mhindi utashangaa anachukua familia yake jioni anawasha gari Coco beach anapunga upepo , au wanapata mihogo wakimaliza nyumbani,.Tujifunze kwanza kuimiliki cent moja , shilingi moja tukiweza hayo basi hata ukiachiwa Kiwanda wewe utakiendeleza bila shaka , Sio tunashindwa kuimiliki cent au shilingi halafu tulaumiane jinsi ya kuimiliki 500 milion, na kulaumu heti Shetani.Bado kazi kubwa tunayo Waafrika na Ngozi nyeusi
 
Akili zenu ndio za kishetani.
Nazikumbuka zile raba mbayaaaaa eti kanunua milioni sita.
Visuti vibayaaaaa eti milioni tanotano.
Halafu mumsingizie Mr. shetani hayo maujinga aliyokuwa anayafanya
sallam..naunga mkono ,unajua kuna upuuzi na dhambi tunafanya mpaka shetani anaona cheo chake kidogo..
 
Wadau Naomba Kujua Sifa Na Utaratibu, Nataka Kushiriki BBA Mwaka Huu
Utaritibu unafahamika...ukitaka mpaka mwisho wake pia unafahamika[emoji117]uteja. So, tuanze kukuelezea utaratibu au mwisho wake(soma uzi kuelewa mwisho wa hizo mambo)? Acha kupenda mtelezo piga kazi
 
Embu nisaidie kidogo kama sijakosea kwenye hiyo list uliyotaja kumbukumbu zangu zinaniambia ni Idris tu aliyewahi kushindaga na yule half cast mwingine aliyeondokaga na kwenda kuishi Canada baada ya kushinda au nimekosea?
Idrisa na Richard
 
Wakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana,
Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua zile pesa zote zimeisha na kubaki kapuku bila ya kuwa na uwekezaji wowote mpaka sasa kubaki mweupe na kushiwa kabisa?

Maana nusu billioni navyofikiria mimi kama ningeipata wakati huo nafikiri rafiki zangu wangekuwa Magufuli au Kikwete labda ningekuwa level hizo za maisha kwa mafanikio.

Sasa ni kweli huyu jamaaa kafirisika kabisa bila kuwa hata na uwekezaji?
Zile zilikuwa zama za 'laki si pesa' kama ngosha mmoja aliita bilioni vijisenti hakika pesa za huyu bw mdogo zilikuwa chenji.
 
Utaritibu unafahamika...ukitaka mpaka mwisho wake pia unafahamika[emoji117]uteja. So, tuanze kukuelezea utaratibu au mwisho wake(soma uzi kuelewa mwisho wa hizo mambo)? Acha kupenda mtelezo piga kazi
Nani Kakuambia BBA Ni Mtelezo ?
 
Embu nisaidie kidogo kama sijakosea kwenye hiyo list uliyotaja kumbukumbu zangu zinaniambia ni Idris tu aliyewahi kushindaga na yule half cast mwingine aliyeondokaga na kwenda kuishi Canada baada ya kushinda au nimekosea?
Walioshinda ni
1. Richard ml300
2.mwisho Mwampamba mil200
3 idris sultan mil500
 
Back
Top Bottom