Hivi zile zaidi ya millioni mia tano za yule mshindi wa Big brother zimeyeyuka?

Hivi zile zaidi ya millioni mia tano za yule mshindi wa Big brother zimeyeyuka?

Angejenga kajumba ka milioni 50 nje ya muji
Angenunua daladala mabasi kumi(10) ya second hand.
Kila daladala moja hesabu 100,000 kwa siku mara kumi=1,000,000 mara mwezi 30 mil.
Kwa muda huu angekuwa ofisini kwake anaperuzi na kutandaa na kumjibuni kigongo kwa kigongo.
 
Tatizo huko Big Brother wanapeleka watu kutoka mikoani ndio maana wakishinda wanapagawa na wanawake wa Dar.

Ila wangepeleka watoto wa Dar es Salaam huko hata ukishinda huwezi kufilisiwa na mademu wa Dar es salaam unawajua vzuri toka Ukiwa uja balehe
Hii pointi sana. Jamaa anaonekana mbulula mbulula mshamba fulani hivi limbukeni...ndo mana wamempukutisha ela zote...
Alivoshinda Angerudi kijijini kwao akatafakari matumizi ya izo ela...lakini ulimbukeni wa jiji umemponza..
 
Zile pesa ni kishetani maana washindi wote 3 waliopata hizo pesa hakuna ambaye alifanya cha maana zaidi ya kuzifuja.
1.Mwisho halizifuja na ray C mwisho kawa teja.
2.Nando naye alioa bibi wa kuzungu mwisho kawa teja.
3.Idris naye naye ametumbua na Wema Sepetu mungu amnusuru asiingie kwenye uteja kama wenzie.
na yule mwingine Richard?[emoji101]
 
Zile pesa ni kishetani maana washindi wote 3 waliopata hizo pesa hakuna ambaye alifanya cha maana zaidi ya kuzifuja.
1.Mwisho halizifuja na ray C mwisho kawa teja.
2.Nando naye alioa bibi wa kuzungu mwisho kawa teja.
3.Idris naye naye ametumbua na Wema Sepetu mungu amnusuru asiingie kwenye uteja kama wenzie.
Tangu lini nando alikuwa mshindi wa BBA
 
The grass is always greener on the other side!
Kwani hizo milioni 500 aliziokota?
Tafuta kwanza hizo milioni 500 hayo ya Kikwete na Magufuli baadae!
babu M; huo mstari tu wa the legendary lucky dube.....The Other Side
 
Dogo nilisafiri naye akawa anatoa tips kwa to Air hostres na tunavyojishebedua lazima tulimwendea hewani tu.Mademu wa bongo noma Wakiona hela wanaongelea puani na kupindisha miguu yao ionekane wanamatege ukiwaingia tu lazima wakupige.
[emoji23]
 
Wakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana,
Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua zile pesa zote zimeisha na kubaki kapuku bila ya kuwa na uwekezaji wowote mpaka sasa kubaki mweupe na kushiwa kabisa?

Maana nusu billioni navyofikiria mimi kama ningeipata wakati huo nafikiri rafiki zangu wangekuwa Magufuli au Kikwete labda ningekuwa level hizo za maisha kwa mafanikio.

Sasa ni kweli huyu jamaaa kafirisika kabisa bila kuwa hata na uwekezaji?

Unasema hivyo kwa sababu hujapata nakuombea upate tuone tabia zako
 
Huyo mwisho na nando walishinda mwaka gani? Tz tumeshinda mara mbili tu Richard na Idrisa Acha kupotosha
mwisho kwakuwa ilikua ndio mara ya kwanza ile kuwa wa pili ni kama ilikua ushindi hadi li sirikali la waziri walienda kumpokea na maua pale zinapotua bombardeó"
 
Ningekuwa mimi nimezipata hizo Mln.500, ningeweka fixed deposit angalau Mln.400 then hiyo moa mia ningeweka kamjengo ka kistaa, na kamkoko fulani kakali ka kijapan, then kila mwaka natengeneza Mln 20 kama faida kama rate ya profit ni 5% per annual, kama kwa mwezi ni Mln 1.6, sio haba huchoki.
Ila kwa kuwa ni pesa zisizo na jasho, wasanii hawa hudhani hawatafulia.
Nyie wenye mahesabu haya hamuwezi kupata hela
 
Zile pesa ni kishetani maana washindi wote 3 waliopata hizo pesa hakuna ambaye alifanya cha maana zaidi ya kuzifuja.
1.Mwisho halizifuja na ray C mwisho kawa teja.
2.Nando naye alioa bibi wa kuzungu mwisho kawa teja.
3.Idris naye naye ametumbua na Wema Sepetu mungu amnusuru asiingie kwenye uteja kama wenzie.
Hakuna shetani, bali pesa ya kumshtukiza mtu ambae hakuwa na malengo yeyote ndivyo ilivyo.
Wangekuwa na ramani kabla na uchungu wa maisha wangefika mbali, ila pesa iliingia kwa watoto mboga saba wamezoea kukuta msosi mezani.
 
Back
Top Bottom