Hivi zile zaidi ya millioni mia tano za yule mshindi wa Big brother zimeyeyuka?

Wakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana,
Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua zile pesa zote zimeisha na kubaki kapuku bila ya kuwa na uwekezaji wowote mpaka sasa kubaki mweupe na kushiwa kabisa?

Maana nusu billioni navyofikiria mimi kama ningeipata wakati huo nafikiri rafiki zangu wangekuwa Magufuli au Kikwete labda ningekuwa level hizo za maisha kwa mafanikio.

Sasa ni kweli huyu jamaaa kafirisika kabisa bila kuwa hata na uwekezaji?
The grass is always greener on the other side!
Kwani hizo milioni 500 aliziokota?
Tafuta kwanza hizo milioni 500 hayo ya Kikwete na Magufuli baadae!
 
[emoji102] [emoji101] Yangu macho na maskio, kwani kuna ushahidi wowote kuwa amefirisika?! Ni nani mndani wake hapa aliethibitisha hilo?! Unajua mtu hawezi weka public kila kitu anachofanya eeeh! Ngoja ni[emoji40]
 
Zile pesa ni kishetani maana washindi wote 3 waliopata hizo pesa hakuna ambaye alifanya cha maana zaidi ya kuzifuja.
1.Mwisho halizifuja na ray C mwisho kawa teja.
2.Nando naye alioa bibi wa kuzungu mwisho kawa teja.
3.Idris naye naye ametumbua na Wema Sepetu mungu amnusuru asiingie kwenye uteja kama wenzie.
Embu nisaidie kidogo kama sijakosea kwenye hiyo list uliyotaja kumbukumbu zangu zinaniambia ni Idris tu aliyewahi kushindaga na yule half cast mwingine aliyeondokaga na kwenda kuishi Canada baada ya kushinda au nimekosea?
 
Ningekuwa mimi nimezipata hizo Mln.500, ningeweka fixed deposit angalau Mln.400 then hiyo moa mia ningeweka kamjengo ka kistaa, na kamkoko fulani kakali ka kijapan, then kila mwaka natengeneza Mln 20 kama faida kama rate ya profit ni 5% per annual, kama kwa mwezi ni Mln 1.6, sio haba huchoki.
Ila kwa kuwa ni pesa zisizo na jasho, wasanii hawa hudhani hawatafulia.

Interest ya fixed deposit huwa zinaenda hadi 10% na ukikomaa fresh hadi 13% inategemea na bank lakini.
 
Zile pesa ni kishetani maana washindi wote 3 waliopata hizo pesa hakuna ambaye alifanya cha maana zaidi ya kuzifuja.
1.Mwisho halizifuja na ray C mwisho kawa teja.
2.Nando naye alioa bibi wa kuzungu mwisho kawa teja.
3.Idris naye naye ametumbua na Wema Sepetu mungu amnusuru asiingie kwenye uteja kama wenzie.
Huyo mwisho na nando walishinda mwaka gani? Tz tumeshinda mara mbili tu Richard na Idrisa Acha kupotosha
 
Amefungua kampuni mbili kubwa sana na ameajiri wafanyakazi saba hivi yani 7
 
  • Thanks
Reactions: 911
Maneno makali ila hujadanganya...
Akili zenu ndio za kishetani.
Nazikumbuka zile raba mbayaaaaa eti kanunua milioni sita.
Visuti vibayaaaaa eti milioni tanotano.
Halafu mumsingizie Mr. shetani hayo maujinga aliyokuwa anayafanya
 
Zile pesa ni kishetani maana washindi wote 3 waliopata hizo pesa hakuna ambaye alifanya cha maana zaidi ya kuzifuja.
1.Mwisho halizifuja na ray C mwisho kawa teja.
2.Nando naye alioa bibi wa kuzungu mwisho kawa teja.
3.Idris naye naye ametumbua na Wema Sepetu mungu amnusuru asiingie kwenye uteja kama wenzie.
Vip yule Richard mkuu
 
Wakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana,
Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua zile pesa zote zimeisha na kubaki kapuku bila ya kuwa na uwekezaji wowote mpaka sasa kubaki mweupe na kushiwa kabisa?

Maana nusu billioni navyofikiria mimi kama ningeipata wakati huo nafikiri rafiki zangu wangekuwa Magufuli au Kikwete labda ningekuwa level hizo za maisha kwa mafanikio.

Sasa ni kweli huyu jamaaa kafirisika kabisa bila kuwa hata na uwekezaji?
Ahaaaaaa! Mbona hizo nilikuwa na dagaa tu!
 
Zile pesa ni kishetani maana washindi wote 3 waliopata hizo pesa hakuna ambaye alifanya cha maana zaidi ya kuzifuja.
1.Mwisho halizifuja na ray C mwisho kawa teja.
2.Nando naye alioa bibi wa kuzungu mwisho kawa teja.
3.Idris naye naye ametumbua na Wema Sepetu mungu amnusuru asiingie kwenye uteja kama wenzie.
Mwisho na Nando walishinda nini?
 
Wakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana,
Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua zile pesa zote zimeisha na kubaki kapuku bila ya kuwa na uwekezaji wowote mpaka sasa kubaki mweupe na kushiwa kabisa?

Maana nusu billioni navyofikiria mimi kama ningeipata wakati huo nafikiri rafiki zangu wangekuwa Magufuli au Kikwete labda ningekuwa level hizo za maisha kwa mafanikio.

Sasa ni kweli huyu jamaaa kafirisika kabisa bila kuwa hata na uwekezaji?
Huwa tunasomesha watu au kutafutia watu kazi lakini mtu hapangiwi matumizi ya pesa!nadhani hauko sahihi
 
Back
Top Bottom