Hivi zile zaidi ya millioni mia tano za yule mshindi wa Big brother zimeyeyuka?

Hivi zile zaidi ya millioni mia tano za yule mshindi wa Big brother zimeyeyuka?

Idris amebaki yeye na yale matege yake. Basi...!!
Hata kibanda hajafanikiwa kuwa nacho...
Na hela zote zimeisha amebaki kuwa cartoonist.
Very hopeless.
 
Hapana mtaongea mengi sana kwa kuwa hamjawahi kushika hela, au hata kama mmewahi basi sio zaidi ya 10M. Kwakifupi kabla ya kushika hela, kuna mipango unaipanga huenda ikawa mizuri sana, tena hapo nakuambia hela za uhakika ambazo huenda unauza Nyumba, au hela ya mirathi, fidia na mengineyo, sio hela hizi za kubahatisha nikiwa na maana za mashindano furani, au bahati nasibu ambazo ndizo alizopata idrissa. Sasa kwa kifupi hela kama hizo hauwezi kuzipangia mipango yoyote kabla hujazishika, kwa kuwa zitakufanya upunguze nguvu katika mashindano yako au uongeze. Sijui kama unanipata, sasa hasara yake hautashinda kwa kuwa hutamuamini yeyote atakae kushauli ili uweze kuzipata. Sasa kudra za Mungu ikazipata, kwanza hutaamini, pili utaona nyingi sana kwamba hazitaisha. Ndio wengi wanashindwa hapo, mmeenda mbali BBA, mbona hata wale washindo BSS wako wapi? Kwahiyo tusi walaumu sana, kwakuwa hela hazikuwa na urafiki nao kabla.
 
Itakuwa kanunua share mawingu [emoji144] [emoji144]
 
So him he has spent the sum so as not to get old??
Don't be ridiculous poor woman...!

Kingereza hukiwezi, nilikujaribu tu nilipoona umepachika maneno ya Kingereza. Unatia kinyaa na Kingereza chako cha viroba.

Nenda juu kajisome tena uliandika nini.
 
Ningekuwa mimi nimezipata hizo Mln.500, ningeweka fixed deposit angalau Mln.400 then hiyo moa mia ningeweka kamjengo ka kistaa, na kamkoko fulani kakali ka kijapan, then kila mwaka natengeneza Mln 20 kama faida kama rate ya profit ni 5% per annual, kama kwa mwezi ni Mln 1.6, sio haba huchoki.
Ila kwa kuwa ni pesa zisizo na jasho, wasanii hawa hudhani hawatafulia.
Ukiwa nje ya uwanja wachezaji wote uwanjani huwa unawaona wabovu ingia wewe uone balaa lake.
 
Wakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana,
Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua zile pesa zote zimeisha na kubaki kapuku bila ya kuwa na uwekezaji wowote mpaka sasa kubaki mweupe na kushiwa kabisa?

Maana nusu billioni navyofikiria mimi kama ningeipata wakati huo nafikiri rafiki zangu wangekuwa Magufuli au Kikwete labda ningekuwa level hizo za maisha kwa mafanikio.

Sasa ni kweli huyu jamaaa kafirisika kabisa bila kuwa hata na uwekezaji?
Hivi Huyu Jamaa Idris si alinunuliwa Mjengo wa Maana Ghorofa Moja(AFRIKANA) na eneo kubwa tu la garden na parking limeishia wapi? AU ilikuwa Kiki ya kuwavuta kina wema ili awachape NAO?
 
Ningekuwa mimi nimezipata hizo Mln.500, ningeweka fixed deposit angalau Mln.400 then hiyo moa mia ningeweka kamjengo ka kistaa, na kamkoko fulani kakali ka kijapan, then kila mwaka natengeneza Mln 20 kama faida kama rate ya profit ni 5% per annual, kama kwa mwezi ni Mln 1.6, sio haba huchoki.
Ila kwa kuwa ni pesa zisizo na jasho, wasanii hawa hudhani hawatafulia.

kila mtu ana matumizi yake, labda alikuwa ana madeni na tuangalie kama yeye amefuja mali na nyumbani kwao wanaishi vizur basi hiyo 500m ndipo ilipoelekea huko........
 
Hivi Huyu Jamaa Idris si alinunuliwa Mjengo wa Maana Ghorofa Moja(AFRIKANA) na eneo kubwa tu la garden na parking limeishia wapi? AU ilikuwa Kiki ya kuwavuta kina wema ili awachape NAO?
Hakununuliwa mkuu alipewa zawadi na bosi wake.Akae mule kwa muda wa mwaka mmoja kama zawadi yake kwa kuiwakalisha vizuri kampuni yake kimataifa.

Mkuu unadhani ni kitu rahisi mwanaume amnunulie mwanaume mwenzie mjengo tena bure bure tu mkiwa amna udugu wowote?!
 
OKAY NILIJUA NI MJENGO WAKE,KAMA NDIO HIVYO WEMA MUNGU ANAMUONA KUMPUKUTISHA IDRIS HADI MPAKA SASA HANA HATA KIWANJA HATARI.

IDRIS0.jpg

IDRIS1.jpg

Matunda ya BBA 2014, hizi ni picha za nyumba ya Idris Sultan Dar es salaam.

Ni mshindi wa Big brother Africa 2014 Idris Sultan ambae anaendeleza matunda ya ushindi wake wa BBA na sasa kajipatia nyumba yake ya kuishi ambayo pamoja na mengine ina sebule mbili na anatarajia kuanza kuishi kwenye nyumba hii kuanzia Jumapili January 25 2015.
 
Back
Top Bottom