AhahahahahhaaaaaZile hela wakina wema waliisha mpiga zote akataka kufanya biashara ya madini matapeli nao wakampiga saizi anafanya maigizo kama wakina mzee majuto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhahahahahhaaaaaZile hela wakina wema waliisha mpiga zote akataka kufanya biashara ya madini matapeli nao wakampiga saizi anafanya maigizo kama wakina mzee majuto
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hatari nguvu ya papuchi.Zile hela wakina wema waliisha mpiga zote akataka kufanya biashara ya madini matapeli nao wakampiga saizi anafanya maigizo kama wakina mzee majuto
Zile pesa ni kishetani maana washindi wote 3 waliopata hizo pesa hakuna ambaye alifanya cha maana zaidi ya kuzifuja.
1.Mwisho halizifuja na ray C mwisho kawa teja.
2.Nando naye alioa bibi wa kuzungu mwisho kawa teja.
3.Idris naye naye ametumbua na Wema Sepetu mungu amnusuru asiingie kwenye uteja kama wenzie.
haramu siku zote ni haramu tu hakuna namna ya kuitakatisha au kilichohalali kwa shetani haumrudia shetani mwenyewe ni sawasawa na kuchukua vibuyu vya uganga na uchawi ili vikatumike madhabahuni>>>>Zile pesa ni za kiShetani..
Mbona hujasema kuhusu mshindi wa US dollars 100,000 ambaye ni Mr Richard Bezuidenhout.Zile pesa ni kishetani maana washindi wote 3 waliopata hizo pesa hakuna ambaye alifanya cha maana zaidi ya kuzifuja.
1.Mwisho halizifuja na ray C mwisho kawa teja.
2.Nando naye alioa bibi wa kuzungu mwisho kawa teja.
3.Idris naye naye ametumbua na Wema Sepetu mungu amnusuru asiingie kwenye uteja kama wenzie.
kumbuka lile n shindano hapo hajakatwa kodi, sec.kuna wale wadau walopiga kura nao wamo, kuna wale walomwezesha kufika huko nao wamo kila mahli 10% abak na nn matokeo yake saiv kapanga mbezi ya chini nyumba wanaish kam sita hiv wanachangia kodi ....huruma tupuWakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana,
Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua zile pesa zote zimeisha na kubaki kapuku bila ya kuwa na uwekezaji wowote mpaka sasa kubaki mweupe na kushiwa kabisa?
Maana nusu billioni navyofikiria mimi kama ningeipata wakati huo nafikiri rafiki zangu wangekuwa Magufuli au Kikwete labda ningekuwa level hizo za maisha kwa mafanikio.
Sasa ni kweli huyu jamaaa kafirisika kabisa bila kuwa hata na uwekezaji?
Shetani ni yule aliyekosa uwezo wa kupangilia namna ya kuwekeza million 500.>>>>Zile pesa ni za kiShetani..
Kuna jamaa mmoja wa bongo movie jina Richard kama sikosei.....na idrisEmbu nisaidie kidogo kama sijakosea kwenye hiyo list uliyotaja kumbukumbu zangu zinaniambia ni Idris tu aliyewahi kushindaga na yule half cast mwingine aliyeondokaga na kwenda kuishi Canada baada ya kushinda au nimekosea?
Zinakuhusu nini hata zikiwa zimeisha?si zke?kwa nini unajaza akili yako vitu ambavyo havina faida kwako?Au unataka kumkopesha?Au amekuomba umsaidie?Acha kupoteza muda na mambo ya watu fanya yako!Wakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana,
Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua zile pesa zote zimeisha na kubaki kapuku bila ya kuwa na uwekezaji wowote mpaka sasa kubaki mweupe na kushiwa kabisa?
Maana nusu billioni navyofikiria mimi kama ningeipata wakati huo nafikiri rafiki zangu wangekuwa Magufuli au Kikwete labda ningekuwa level hizo za maisha kwa mafanikio.
Sasa ni kweli huyu jamaaa kafirisika kabisa bila kuwa hata na uwekezaji?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Zile hela wakina wema waliisha mpiga zote akataka kufanya biashara ya madini matapeli nao wakampiga saizi anafanya maigizo kama wakina mzee majuto
[emoji23]kumbuka lile n shindano hapo hajakatwa kodi, sec.kuna wale wadau walopiga kura nao wamo, kuna wale walomwezesha kufika huko nao wamo kila mahli 10% abak na nn matokeo yake saiv kapanga mbezi ya chini nyumba wanaish kam sita hiv wanachangia kodi ....huruma tupu
mbona humtaji richardZile pesa ni kishetani maana washindi wote 3 waliopata hizo pesa hakuna ambaye alifanya cha maana zaidi ya kuzifuja.
1.Mwisho halizifuja na ray C mwisho kawa teja.
2.Nando naye alioa bibi wa kuzungu mwisho kawa teja.
3.Idris naye naye ametumbua na Wema Sepetu mungu amnusuru asiingie kwenye uteja kama wenzie.
...huwe tayari kwa lolote mfano ku act kama unagegeda au unagegedwa.Wadau Naomba Kujua Sifa Na Utaratibu, Nataka Kushiriki BBA Mwaka Huu
Hahahahahahahaha kama kina Zembwela na Pembe....Zile hela wakina wema waliisha mpiga zote akataka kufanya biashara ya madini matapeli nao wakampiga saizi anafanya maigizo kama wakina mzee majuto