izbullah
Member
- May 30, 2019
- 32
- 58
Humu ndani Kuna wajuzi wa mambo duh kiukweli nilikuwa sifaham hik kituShinyanga sio kanda ya ziwa mkuu ile ni kanda ya kati ipo ukanda mmoja na Tabora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu ndani Kuna wajuzi wa mambo duh kiukweli nilikuwa sifaham hik kituShinyanga sio kanda ya ziwa mkuu ile ni kanda ya kati ipo ukanda mmoja na Tabora
Ndio kuna mkondo unaingia pale Salawe Wilaya ya ShinyangaMikoa yote ya kanda ya ziwa imepakana na ziwa Viktoria lakini sina hakika na Shinyanga. Je ziwa Viktoria limefika Shinyanga?
Simiyu wilaya ya busegaSimiyu nadhani.
Ni kanda ya Ziwa.Shinyanga sio kanda ya ziwa mkuu ile ni kanda ya kati ipo ukanda mmoja na Tabora
Mikoa yote ya kanda ya ziwa imepakana na ziwa Viktoria lakini sina hakika na Shinyanga. Je ziwa Viktoria limefika Shinyanga?
Itakuwa GamboshiNasikia kuna sehemu Shinyanga ambayo unaweza kuuona mlima kilimanjaro. Ni sehemu gani hiyo?
Nataka nii-google.
Cheki ramani ya google earth, kuna ile sehemu ya ziwa inaingia Mwanza kuelekea shinyanga, ni defu sana.angalia ramani, vitu vingine unatafuta kwenye mitandao, ziwa victoria haliingii shinyanga kabisa, sijui kwa mikoa ambayo Jiwe aliiunda labda shinyanga imepewa kipande cha ziwa.. stand to be corrected
![]()
ok, let me do the assignmentCheki ramani ya google earth, kuna ile sehemu ya ziwa inaingia Mwanza kuelekea shinyanga, ni defu sana.
Ww wawapi Shinyanga, Simiyu, Mwanza, Geita, Mara, na Kagera ni kanda ya Ziwa, Tabora na Kigoma ni kanda ya magharibiShinyanga sio kanda ya ziwa mkuu ile ipo ukanda mmoja na Tabora
Seemu inayonitatiza ni hii hapa. Huo mkia wa kushoto unahesabika kufika hadi Shinyanga?
View attachment 1991199
Muongo kabisa wewe mkondo wa mwisho lake Victoria ni wa buyagu(kigongo-busisi)Kuna mkondo unaingia. Panaitwa salawe.
Hahaa..upongoji hivi bado wanauza pombe za kienyeji na bangi??Google Ibinzamata,Shy pale utapata view ya my. Kilimanjaro vzr lkn ukitaka iwe clear kabisa sogea mitaa ya Upongoji/Ndala/Ngokolo huko vilele vya Kibo na Mawenzi vinaoneakana clear kwa 100%.
Taarifa nyingi za nchi yetu huzipati google. Nilitaka kufahamu kuhusu kisiwa cha Maisome lakini hakuna chochote cha maana huko google.