Hivi ziwa Victoria limefika hadi Shinyanga?

Hivi ziwa Victoria limefika hadi Shinyanga?

Ipo kanda ya ziwaa..mwenyew jana nlikuwa nasafir na nmelala hapa shinyangaa...kuna bado la voda huwa wanatoka kulingana na kandaa...hapa nikiangalia wananambia ipo kanda ya ziwa
 
Haiwezekan broh
Hii nilihadithiwa na mjomba wangu, sergeant major mstaafu TPDF na alikuwa akifundisha mgambo mkoani Shinyanga.
Kijijini kwa babu yangu Sing'isi, huwa tunauona mlima Kilimanjaro vizuri sana.
Nakumbuka aliniambia ashawahi kuuona akiwa Shinyanga. Ni mtu wa hadithi nyingi sana, na karibu zote nimethibitisha ukubwani.
Hii thread imenikumbusha tu. N nadhani kuna ukweli.
 
Haya mkuu hamna linaloshindikana chini ya jua
 
Kanda ya Ziwa bwana! Ambayo inabeba Shinyanga, Mwanza,Simiyu,Geita,Mara na Kagera
Labda iwe imehamishiwa hivi karibuni.

Miaka hiyo hata mitihani ya kanda kanda ya Magharibi ilikuwa Tabora, Shinyanga na Kigoma.
 
Google Ibinzamata,Shy pale utapata view ya my. Kilimanjaro vzr lkn ukitaka iwe clear kabisa sogea mitaa ya Upongoji/Ndala/Ngokolo huko vilele vya Kibo na Mawenzi vinaoneakana clear kwa 100%.
Ukenyenge na wizunza mpaka Zanzibar hapa na hapa
 
Hapana huo mkia wa kushoto unaishia Kijiji kimoja kinaitwa isole kipo sengerema isipokuwa kuna mto ambao unamwaga maji ziwa Victoria unaitwa ‘nyaruhwa' huo ndio unaoweza kufika sehem ya shinyanga
Usiwaambie hii siri ..Manonga inamwaga maji Atlantic Ocean....
 
Back
Top Bottom