Hivi ziwa Victoria limefika hadi Shinyanga?

Hivi ziwa Victoria limefika hadi Shinyanga?

Angalau nafahamu ukigoogle utaweza kupata ramani ya Tanzania na tawala zake za mikoa, maziwa yote makuu, mito, bahari n.k

Hivyo ungeweza kuona namna ambavyo kwa upande wa Tanzania, ziwa Viktoria limepakana na mikoa gani
Unauona huo mkia wa kushoto? Huo ndiyo unanipa utata. Unahesabika ni ziwa limefika Shinyanga? Wenyeji wanaopajua wanasemaje? Si swala la kugoogle tu na kupata jibu.

Screenshot_20211029-202000.png
 
Je, huo mkondo umefika Kano? Kama umefika sechi sehemu inaitwa Mhangu iko huko Shinyanga karibu na hiyo Kano au Salawe watu wanakula sana samaki wa ziwa Viktoria. Kiufipi kuna mkondo mithiri ya ziwa unagisa eneo hilo toka ziwani.
Naanza kukupata. Ramani hii imeonyesha Kano.

Screenshot_20211029-202000.png
 
Unauona huo mkia wa kushoto? Huo ndiyo unanipa utata. Unahesabika ni ziwa limefika Shinyanga? Wenyeji wanaopajua wanasemaje? Si swala la kugoogle tu na kupata jibu.

View attachment 1991273
Hapana huo mkia wa kushoto unaishia Kijiji kimoja kinaitwa isole kipo sengerema isipokuwa kuna mto ambao unamwaga maji ziwa Victoria unaitwa ‘nyaruhwa' huo ndio unaoweza kufika sehem ya shinyanga
 
Hapana huo mkia wa kushoto unaishia Kijiji kimoja kinaitwa isole kipo sengerema isipokuwa kuna mto ambao unamwaga maji ziwa Victoria unaitwa ‘nyaruhwa' huo ndio unaoweza kufika sehem ya shinyanga
Shukrani. Nilijua maji yakijaa yanafanya kote kuwa ziwa. Shukrani.
 
Shinyanga ni Kanda ya kati?? We jamaa hebu acha basi! Kiserikali, Shinyanga ni Kanda ya Ziwa! Lakini NMB na CRDB Shinyanga ni Kanda ya Magharibu,ikiwa pamoja na Tabora na Kigoma!
Kiserikali Shinyanga ni kanda ya Magharibi.
 
Kisiasa shinyanga iko kanda ya ziwa ila kijiografia shinyanga iko Central.
 
Back
Top Bottom