Hivi ziwa Victoria limefika hadi Shinyanga?

Sio shinyanga tu hadi dar limefika ukipita mwenge unaelekea Morocco utalikuta njiani pale Victoria
Mikoa yote ya kanda ya ziwa imepakana na ziwa Viktoria lakini sina hakika na Shinyanga. Je ziwa Viktoria limefika Shinyanga?
 
angalia ramani, vitu vingine unatafuta kwenye mitandao, ziwa victoria haliingii shinyanga kabisa, sijui kwa mikoa ambayo Jiwe aliiunda labda shinyanga imepewa kipande cha ziwa.. stand to be corrected

Cheki ramani ya google earth, kuna ile sehemu ya ziwa inaingia Mwanza kuelekea shinyanga, ni defu sana.
 
Sehemu ya shinyanga iliyokaribu naziwa Victoria ndio imeipa hadhi Shinyanga kuwa Kanda ya Ziwa.

Yapo maeneo ambayo yapo mbali saba na Ziwa Victoria yanamwonekano tofauti, jua kali,kukame ,hewa kavu n.k.
 
Taarifa nyingi za nchi yetu huzipati google. Nilitaka kufahamu kuhusu kisiwa cha Maisome lakini hakuna chochote cha maana huko google.

Angalau nafahamu ukigoogle utaweza kupata ramani ya Tanzania na tawala zake za mikoa, maziwa yote makuu, mito, bahari n.k

Hivyo ungeweza kuona namna ambavyo kwa upande wa Tanzania, ziwa Viktoria limepakana na mikoa gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…