Hivi ziwa Victoria limefika hadi Shinyanga?

Hivi ziwa Victoria limefika hadi Shinyanga?

Google Ibinzamata,Shy pale utapata view ya my. Kilimanjaro vzr lkn ukitaka iwe clear kabisa sogea mitaa ya Upongoji/Ndala/Ngokolo huko vilele vya Kibo na Mawenzi vinaoneakana clear kwa 100%.
Picha tafadhar
 
Kwanini wachagga wasiwe matajiri na ndiyo mlima uko pale pale matokeo yao wengine huangukia kwenye ulevi/mbege 😁 katika mikoa iliyolala ni Kilimanjaro aisee. Ardhi ni wao hawataki kuuza kwa wageni, nyumba ni wao,,,ndiyomaana hapaendelei.
Nimesema kwamba "Nasikia"
 
Ni
Ndiyo maana unajiita Nindo ?

Hivi bado lile bonde la Nindo linazalisha mpunga kwa wingi ?

Wakazi wa Salawe waliniambia kuna catchment ya ziwa Vicky maeneo Yale. nimetembea tembea hayo maeneo kama miezi nane ila mm sio mwenyeji wa shinyanga. Jua likikubali huko linawaka sio mchezo
 
Ni sawa tu na kusema mkoa wa kipolisi wa Kinondoni wakati kinondoni iko Mkoa wa Dar es Salaam. Hivyo shinyanga kielimu iko Kanda ya Magharibi wakati yenyewe iko Kanda ya Ziwa
Uhalisia upi ?
 
Ziwa limefika mpaka Tabora ndio maana yote ikaitwa Kanda ya ziwa
 
Back
Top Bottom