Hivyo ndivyo vijana wa kazi wa Kitanzania wanavyoturudisha nyuma na kututia hasara kubwa

Mi nadhani ni kwa vijana wa kazi mkuu. Kama unashindwa kusimamia mali ya mtu je ya serkali utaweZa kuwa muadirifu kweli? Imagine hadi mchungaji wake anaye mwamini kashindwa hata kumpa taarifa tu? kazi ipo sana asee

Vijana wa kazi watakupiga tu hata hao michina na mihindi itakupiga na kukimbia kama hutowasimamia. Kila kazi lazima iwe na system and control na juu yao lazima uwe mwenyewe tena kwa ukaribu. Mtu yeyote yule ukimuachia uhuru wa kutosha atakupiga hata awe mchungaji au ndugu yako wa damu kama humbani.
 
Mbona hawa wawekezaji wakubwa kama Barrick nk kwenye migodi hata watoto wao hawapo?
Mfano hapa karibia 97% ya uongozi ni waafrika wengi wao ni wabongo na hao wazungu huwa hawakai na utakuta mfanyakazi kama wengine tu. Hii imekaaje?
 
Unachanganya madesa.

Barrick inaajiri wafanyakazi wabongo ila top positions za management ni wao na wanajua kila kinachoendelea daily. Zile ni kampuni zenye systems and controls in place already. Wanatoa mishahara na pension. Wapo listed kwenye stock exchange za nchi za nje huwezi kujifananisha na wewe mlima nyanya heka 10.

Unachoweza kuwaiga ni kuestablish systems kwako kama wao. Ukiwa na kampuni hata ukiajiri accountants, lawyers, managers, engineers nk kama wewe ndo owner the buck stops at your desk ni lazima ujue kinachoendelea vinginevyo nao watakupiga. Wabongo mnapenda sana kuamini watu kijinga kisa ni ndugu sijui pastor au titles zao. Wewe ndo wa kwanza kuwajibika.
 
Ahsante sana na mimi najua hivyo. Lakini wanatuumiza sana asee
 
Hivi docta shein alikua na tatizo gani??? Kuna dada yake mmoja nilikutana naeenzi hizo kaka rais,, yule dada hakuwahi kumiliki simu enzi hizo pombe na madawa ndo rafiki zake nilikutana nae sehemu mmoja hivi night club ya mpakani tukawa mashoga..... Alinisimulia kidogo story yake kamakweli baasi!!!! Tulikua kukamatwa siku hiyo tumelewa chakali nakumbuka niliachiwa kibunda akaondoka zake na ndio siku hiyo nilikua yeye ni nani. Oooops nimelewa.
Umaskini Kaka huwa unaanzia kichwani.

Pamoja na kwamba umembeba sana lakini bado habebeki.

Niliwahi kuishi Zanzibar kipindi fulani nikakutana na mzee mmoja amechoka mbaya. Wenyeji wakaniambia ni Kaka Yake Rais Wa Zanzibar wakati huo Dr Ali Mohamed Shein.
Yule mzee alikuwa kachoka anauza urojo.
Nikauliza imekuwaje Kaka yake Rais anakuwa na maisha magumj hivi? Yaani ndugu yakw ameshindwa jinsi ya kumnyanyua? Watu wanamlaum sana Rais Mstaafu Shein.

Lakini Deep Down ni kuwa huenda Shein alishajaribu mbinu zote za kumnyanyua lakini ikawa habebeki.

Ndio kama Hawa.

Ndugu wa Prof Kabudi ni Choka Mbaya kama ndugu wa Prof Kapuya.

Unaweza kuwalaum kwanini wanajipenda wao tu. Kumbe ndugu wenyewe ni wenye akili kama za huyo Mfanya kazi wako.

Kuna Ndugu uking'ang'ania kuwasaidia watakurudisha nyuma na wewe utakuwa maskini kama wao
 
Hivi docta shein alikua na tatizo gani??? Kuna dada yake mmoja nilikutana naeenzi hizo kaka rais,, yule dada hakuwahi kumiliki simu enzi hizo pombe na madawa ndo rafiki zake nilikutana nae sehemu mmoja hivi night club ya mpakani tukawa mashoga..... Alinisimulia kidogo story yake kamakweli baasi!!!! Tulikua kukamatwa siku hiyo tumelewa chakali nakumbuka niliachiwa kibunda akaondoka zake na ndio siku hiyo nilikua yeye ni nani. Oooops nimelewa.
Ulichokiandika na kukisoma unakielewa?
 
Sasa mlevi kama huyo wa kutupwa Shein angemsaidi vipi? Unakuta mawasidia mpaka wakashindikana
 
Mkuu ni ngumu sana asee kusimamia mwenyewe na kwa namna hii hatuwezi piga hatua kabisa.
imagine family ipo Dar miradi yako iko mwanza utajigawa vipi? je kama una miradi zaidi ya2 utajigawa vipi?

Tatizo ni sisi wenyewe wa Tz hatuhurumiani tumejaa wivu na husda na unafiki.
Kazi kwelikweli,unampa mtu kazi yeye anaamua kuipotezea au kuiua kabisa,Hana uchungu na garama uliyoingia,Hana wazo juu ya matarajio yako.acha tuu
 
Mkuu unajua hawa maboss wa company kubwa Barrick Shanta nk hawajui hata underground kukoje na bado biashara zao zipo kizazi hadi kizazi? kwanini Tz pekee lazima uwepo site mwenyewe je utaweza vipi kama una miradi sehemu zaidi ya2?
Tanzania inabidi u micromanage, hamna alternative. Kila project: biashara, kilimo, kujenga, lazima u micromanage, otherwise, utaibiwa tu. Wabongo wengi ni waizi. The naked truth!
 
Hata mimi. Hivi kuna rafiki yangu naye yupo katika process ya kuwekeza katika kupiga story akaniambia katika usimamizi wa kazi zake atamuweka ndg yake mtoto wa mama yake mkubwa nimemshauri usithubutu kabisa japo kamfagilia sana yule ndg katoka chuo anajua kila kitu nimemwambia heri hata mtu baki ukikoswa warudi au mtu yeyote wa nje.
Mwambie asijaribu hata kidogo, huyu ndugu yake labda amfanye kibarua tu lakini sio kuwa mtendaji mkuu, ataumia.

Mwaka 2016 Kuna dogo nilikuwa nafanya nae biashara ya samaki na dagaa kuwatoa mwanza kuwapeleka Dar, mtaji ulikuwa wangu, yule dogo ni mtoto wa rafiki wa karibu wa bimkubwa wangu, yaani mama zetu ni watu walioshibana na wanatoka sehemu moja, hivyo tulikuwa tunachukuliana sisi ni kama ndugu.

Mimi kazi yangu ilikuwa ni kununua mzigo huko mwanza maeneo ya mwaloni na kisha kumtumia ambapo yeye kazi yake ilikuwa nj kusambaza tu Kwa wateja na kukusanya hela basi, na uzuri soko la dagaa siku zote huwa lipo tu wateja sio wa kutafuta sana.

Hili kumfanya afanye kazi kwa moyo mmoja na asijhisi kama namnyonya kwa namna yoyote ile, faida iliyokuwa inapatikana tulikuwa tunagawana 50/50.

Nakumbuka kipindi hicho tulikuwa tunauza kwa kilo ambapo kilo Moja ya dagaa tulikuwa tunauza 4,000/= na samaki ilikuwa ni 2,600= au 1,700/= kunategemea na aina ya Samaki, na mzigo wetu ulikuwa haukawii yaani ukifika tu ndani ya siku Moja unagombaniwa na wateja.

Sasa basi tumefanya kazi vizuri KABISA miezi kama minne ya mwanzo, baadae mwenzangu akaja akaniambia tuachane na samaki tudeal na dagaa tu ndio zinaenda kwa haraka, na kweli nikakubaliana na wazo lake hivyo tukawa tunafanya uchuuzi wa dagaa tu basi.

Kumbe bwana mwenzangu huku tayari siku nying sana alishanizidi akili. Miezi yote hiyo tunafanya nae kazi Mimi najua dagaa anauza 4,000/=per kg kumbe mwenzangu alishawapandishia wateja bei ya daga siku nyingi sana anauza kilo moja 5,500/= na Mimi Sina taarifa yoyote.

Kwa hiyo kumbe hata faida tuliyokuwa tunagawana nae ni ile iliyokuwa inatokana na hesabu ya 4,000@kg..... Imagine na nilikuwa namtumia mpaka mzigo wa 300kg kwa wiki, kwa hiyo yeye alikuwa ananufaika zaidi yangu Mimi Tena kwa kiasi kikubwa sana kwenye biashara ambayo Mimi ndio nilimkaribisha na ndio nilitoa capital kwa 100%.

Kwa baadae nikajagundua kumbe hata lile wazo lake la kutaka tuachene na samaki kisha tudeal na dagaa tu ni kwa Sababu ya hiyo bei aliyokuwa ameongeza kinyemera nyemera kwenye dagaa, kwenye samaki haikuwa rahisi na pia wateja wa samaki walikuwa sio wengi sana kama wa dagaa.

....niliwaza sana siku nilivyogundua dogo ananifanyia mchezo mchafu kiasi kile, yaani licha ya Mimi kuweka mgao sawa wa faida lakini Bado alitafuta njia ya yeye kunufaika kuliko Mimi, siku hiyo ndio niliamini binadamu(hususani mbongo) hawafadhaliki hata kidogo.

Kwa hiyo na huyo jamaa mwambie aache kabisa ujinga wa kuamini amini ndugu, huyo ndugu yake mwambie amfanye kibarua wa kuwa anamwagilizia tu basi.
 
Naanza kuamini kumbe kwenye miradi ya gu nimepigwa sana
 
Back
Top Bottom