mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Wakuu nimepatikana hata kama Ni kupenda hiyi Ni too much
Iko hivi Nina mpenzi nimezaa nae Mara ninaposafiri kuwa mbali na yeye zikipita siku tatu hujikuta namuwazia sana
Na nikiendelea kujikausha nisimtafute hujikuta roho inaniuma sana Ila nikimtafuta tukaongea basi nakuwa na amani
Kuna wakati nilisafiri nikapoteza simu na nilikokuwa kulikuwa hakuna social network ikanibidi nikae bila mawasiliano nae kwa miez
A see nilipata shida sana nikilala usiku ndoto ninazoota ni yeye
Jaman hisia za mapenzi zinanguvu kwangu pesa sio shina na nikitua sehemu wanawake ndio huni approch bas nikajaribu kutongoza wanawake wengine kulala nao lakini wapi, inafikia hatua nagonga bia ili kumfuta kichwan lakin nimeshindwa japo yeye ananipenda kuliko hata mm nimejiridhisha kwenye hili
Wakuu hivi hiyi hali inatokana na nini na nini nifanye maana ye ni binadamu kuna Leo na kesho