Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
- Thread starter
- #401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila huo mkataba umesainiwa dar 😂😂View attachment 2943754Haya Sasa Arusha nako kimewak
Kwa nchi yetu Dar bado sana kupitwaUkitaka kujua kama Kuna siku dar itapigwa bao, Angalia taarifa ya uwekezaji kwenye kituo Cha uwekezaji TIC . Uwekezaji unaofanyika nchini zaidi ya 85% unafanyika Dar na Pwani.Na ukisema Dar kwa Sasa hivi hauwezi itenganisha na pwani.Kwa hiyo siyo rahisi Dar kuwa nyuma au kuzidiwa na Mkoa wowote.
Soon zitakuja ila tayar ujenz unaendelea pale si kiwanda kimoja ni industrial park ya bidhaa za chuma wamechukua ekari 300Makambako tayari kuna ujenzi wa kiwanda Cha nondo kaeni Kwa kutulia huku tuki ngojea CCECC wamalize kipande Cha nundu lusitu Wana nchi waanze kufua chuma hebu Mk boy tunaomba picha tafadhali kutoka pale ikelu.
Dar itakuwa inahamisha magoli ...Dom akisogea hatua moja ...Dar anasogea hatua mbili zaidi...Dodoma itaifikia Dar ya sasa hivi miaka 100 ijayo. Na wakati huo Dar itakuwa imekuwa zaidi.
Nadhani wameshasikia hii report kutoka pale ikelu makambakoSoon zitakuja ila tayar ujenz unaendelea pale si kiwanda kimoja ni industrial park ya bidhaa za chuma wamechukua ekari 300
Umefuatilia mjadara mzima lakini? Kama bado fuatilia Wenda ukapata kitu challenging kidogoLabda na bahari ihamie Dodoma. Hata mbunge wa dodoma vikao vikiisha anakuja dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Viwanda havifuati ofisi za serikali au makao makuu ya kisiasa au siasa bali vinafuata malighafi (raw material), miundombinu ya usafirishaji (transportation infrastructure), nishati ya uzalishaji (energy for industrial production) na masoko (watumiaji).2. Ujenzi wa SGR ya Dar Hadi Dodoma hii itapelekea kuhamishwa kwa viwanda vingi kwani vikiwepo Dodoma kutakuwa na urahisi wa usafirishaji wa mizigo na magarifi kutoka mikoa mingine. Pia viwanda vingi vitapenda kuwa karibu na ofisi za Serikali.