shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Shida mmeamua kubishana ila ukweli ni kwamba serikal ikiamua kuacha uchumi flani ubaki kweny asili yake...trust me baada ya 10 years gap la dar na mikoa mingne litakua dogo kabisa.Hakuna mkoa unaoifukuzia Dar,imeiacha mbali hiyo mikoa,we sema dodoma soon itazipota mwanza na arusha
Mikoa inayongoza kuwa na ongezeko kubwa la watu kwa sas ni dom,mwanza na dar tofauti na miaka ya nyuma unakuta dar ndo inaongoza kwa ongezeko la watu.
Sijui bandar kavu zitaopperate vipi ila nahisi kuna mapato ya bandar ya dar yatapungua.
Kanda ya ziwa ni nyumbani kwa madini ila HQ ziko dar na kodi zinalipa dar.Some changes zinafanyika hili la HQ kubaki sehem ya mradi itaipunguzia dar ushawishi kiuchumi.
Kuna watu huongelea NEW YORK NA WASHINGTON MARA ABUJA NA LAGOS SIJUI MUMBAI NA NEW DELHI HAO SIO TANZANIA SIS NI NI WALE ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI.
DODOMA ITAIPUNGUZIA POWER DAR HUKU MIKOA MINGINE IKIZIDI KUISOGELEA DAR NA KUIPITA KABISA.
SAIV MWANZA NDO MKOA UNAOONGOZA KWA NYUMBA ZINAZOENDELEA KUJENGWA HII NI ISHARA MWANZA INAKUA KULIKO SEHEM YOYOTE NCHINI
Vipi kuhusu nairobi na mombasaDuniani kote coastal cities huwa zinachangia sana uchumi wa nchi na ndipo miji mikubwa ya kibiashara ilipo na wawekezaji hupendelea kuwekeza kwa sababu ya uwepo wa bandari
Dar haitakuja kupigwa bao hata siku moja mkuu na hiyo mikoa uliyotaja