Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Wanavyosema hizo bandari kavu (ICDs) sijui zitafanya bandsri ya Dar idolole utafikiri hiyo mizigo itakuwa linashushwa kwejye hizo ICDs na ndege

ICDs zikiongezeka basi wajue na bandari ya Dar ina maana itakuwa busy zaidi
Itaondoa ulazima wa watu kufika Dar, ina maanisha watu wataenda kuchukulia mizigo dodoma ambayo nayo itapunguza commercial value ya Dar.

Na kwenye bandari labda kama ikivyosemekana kuwa bandari ya bagamoyo itasimamisha shughuliza za bandari nyingine zote. Ila ikiwa tofauti, bandari ya Tanga na Mtwara zikifikia full operation, Dar kutapoa kiasi maana itapoteza kanda ya kaskazini na kusini na lake zone kiasi

Dar kuondolewa supremacy yake itachukua muda mrefu zaidi unless hizo investment za serikali zingeenda kwenye mji kama mwanza ambao naturally Tu unaweza pambana na Dar kwenye commercial influence..

ila hata kwa hali ya sasa tu, Dar inazidi kupunguza ushawishi wake
 
Si ndio manaake hii barabara ya mandela road iko busy sana wanataka waipunguzie majukumu miroli ni ming sana yan wanataka kwakifupi kuwapunguzia watu wanaoenda mbagala, tabata, na gonz mzigo wa folen sababu saivi hamna barabara ina folen kama hiyo ya ubungo buguruni masta, sa mtu yupo huko igwechana hajawah fika dar anatapika uharo hapa unamwangalia unacheka kimoyo kimoyo…
Sasa si ni bado bandari ya Dar itakuwa inapokea mizigo?
 
Wanunuz wakubwa wa mbao za mafinga wapo dar, zabibu za dodoma wapo dar, machungwa ya morogoro wapo dar, sato na sangara wale wataamu wanunuz wakuu wapo dar. Unakuta mtu anaduka la spea za magari mwanza anakuja kukunua kariakoo ndio akauze kwa watu mwanza huko yan leo kuna ligendaeke limeshiba maarage linakuja na statistics zake za kipuuz, me siwaelewag kwakweli. Hata mama Samia ikulu ipo dodoma ila akimaliza ziara yake anarudi dar hivi hawa watu hawashtuki tu ?…Rais wa kwanza Tanzania wakati anaumwa alikuwa dar, mwinyi yupo dar , kikwete yupo msoga ila everynow and then yupo dar , magufuli alidondoka akiwa dar na sio chato, Mo yupo dar, Simba na ya Yanga dar, Rais wa fifa kaja dar, Bakhresa yupo dar, Rostam Aziz yupo dar, Reginald Mengi alikuwa dar, aisee nilimwona K lyn juz msasani yupo na Range kali nae alipewa nyumba machame hataki yupo dar, jitu patel yupo dar, Jay Z alikuja dar, Obama alikuja Dar, sasa hata kama mtu kusoma hujui hata picha huoni ?

Kikubwa hapo ni population ambayo kwa kiasi kiukubwa ni watu wa kipato cha kati kwa sababu ni maskini wachache sana wa dar wanaweza kula sato na sangara zaidi ya dagaa mchele

Sasa hao wa kipato cha kati ni kina nani ? ?..

Wafanyakazi wa serikali, diplomats, watu wanaofanya kazi kwenye international NGO's na mashirika makubwa binafsi

Sasa hawa wote serikali ikihamia Dar, ni nani atabaki hapo kwa ajili ya operations

Msalato airport ikiisha na kupokea international flights, unadhani hao kina Obama au international delegates watashukia dar

Haya kwenye huduma za Afya, unaongelea enzi za muhimbili kuwa the main deal.. Juzi tu hapo makamu wa rais katibiwa Benjamin. Unadhani kiongozi gani atarudi muhimbili

Mtoa mada hajaongelea enzi za dar kuwa kila kitu, anaongelea zama hizi ambapo Dar si kila kitu
 
Itaondoa ulazima wa watu kufika Dar, ina maanisha watu wataenda kuchukulia mizigo dodoma ambayo nayo itapunguza commercial value ya Dar.

Na kwenye bandari labda kama ikivyosemekana kuwa bandari ya bagamoyo itasimamisha shughuliza za bandari nyingine zote. Ila ikiwa tofauti, bandari ya Tanga na Mtwara zikifikia full operation, Dar kutapoa kiasi maana itapoteza kanda ya kaskazini na kusini na lake zone kiasi

Dar kuondolewa supremacy yake itachukua muda mrefu zaidi unless hizo investment za serikali zingeenda kwenye mji kama mwanza ambao naturally Tu unaweza pambana na Dar kwenye commercial influence..

ila hata kwa hali ya sasa tu, Dar inazidi kupunguza ushawishi wake
Hiyo Dom itakuwa ni ICD lakini mizigo itapitia bandari ya Dar

Kwa hiyo bandari ya Dar itakuwa imepungukiwa nini hapo?

Maana kama ni ICDs hata hapa Dar ziko nyingi tu lakini bado bandari ya Dar inapiga kazi

Kazi ya ICDs ni ku-handle full and empty containers then containers are moved from ICD to a ship and vice versa via road or rail transport
 
Wanunuz wakubwa wa mbao za mafinga wapo dar, zabibu za dodoma wapo dar, machungwa ya morogoro wapo dar, sato na sangara wale wataamu wanunuz wakuu wapo dar. Unakuta mtu anaduka la spea za magari mwanza anakuja kukunua kariakoo ndio akauze kwa watu mwanza huko yan leo kuna ligendaeke limeshiba maarage linakuja na statistics zake za kipuuz, me siwaelewag kwakweli. Hata mama Samia ikulu ipo dodoma ila akimaliza ziara yake anarudi dar hivi hawa watu hawashtuki tu ?…Rais wa kwanza Tanzania wakati anaumwa alikuwa dar, mwinyi yupo dar , kikwete yupo msoga ila everynow and then yupo dar , magufuli alidondoka akiwa dar na sio chato, Mo yupo dar, Simba na ya Yanga dar, Rais wa fifa kaja dar, Bakhresa yupo dar, Rostam Aziz yupo dar, Reginald Mengi alikuwa dar, aisee nilimwona K lyn juz msasani yupo na Range kali nae alipewa nyumba machame hataki yupo dar, jitu patel yupo dar, Jay Z alikuja dar, Obama alikuja Dar, sasa hata kama mtu kusoma hujui hata picha huoni ?
Pamoja na yote hayo mmepunyuliwa mkiani Kwa maendeleo na iringa
 
Kikubwa hapo ni population ambayo kwa kiasi kiukubwa ni watu wa kipato cha kati kwa sababu ni maskini wachache sana wa dar wanaweza kula sato na sangara zaidi ya dagaa mchele

Sasa hao wa kipato cha kati ni kina nani ? ?..

Wafanyakazi wa serikali, diplomats, watu wanaofanya kazi kwenye international NGO's na mashirika makubwa binafsi

Sasa hawa wote serikali ikihamia Dar, ni nani atabaki hapo kwa ajili ya operations

Msalato airport ikiisha na kupokea international flights, unadhani hao kina Obama au international delegates watashukia dar

Haya kwenye huduma za Afya, unaongelea enzi za muhimbili kuwa the main deal.. Juzi tu hapo makamu wa rais katibiwa Benjamin. Unadhani kiongozi gani atarudi muhimbili

Mtoa mada hajaongelea enzi za dar kuwa kila kitu, anaongelea zama hizi ambapo Dar si kila kitu
Mkuu una point ila mkuu dar ndio hub ya hii nchi so ni kila kitu kwa sasa labda miaka mingi ijayo ila bado dar inajitosheleza kwa kila kitu masta na hii nchii kwa ukubwa sana unaitegemea dar es salaam ndio mana kila siku wanajitahid kufix miundombinu ili kuweza kuendana na mahitaji ya watu wanaokuja dar kila siku mamia kwa mamia na wakija hawatoki hata kama wanashindia mlo mmoja…
 
Wakuu ni hivi kutokana Hali ilivyosasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi.

1. Kuhamishwa Kwa ikulu na ofisi za serikali. Hii imepunguza idadi kubwa ya watu ambao wangelazimika kusafiri na kuwepo mjini Dar. Hivyo imepunguza wananuzi wa mahitaji na huduma mji Dar es salaam.

2. Ujenzi wa SGR ya Dar Hadi Dodoma hii itapelekea kuhamishwa kwa viwanda vingi kwani vikiwepo Dodoma kutakua na uraisi wa usafirishaji wa mizigo na magarifi kutoka mikoa mingine. Pia viwanda vingi vitapenda kuwa karibu na ofisi za serikali.

3. Ujenzi wa miundo mbinu Bora Kwa mikoa mingine Kwa kipindi kifupi kilichopita tumeshuhudia ujenzi wa miundo yenye tija Kwa mikoa mingine Mfano mpango wa upanuzi wa bandari ya Mtwara na ya Mbambabay pia ujenzi wa reli ya Mbambabay Hadi Mtwara. Kwa hiyo baadhi ya mizigo itapungua bandari ya Dar pia baadhi ya viwanda vitajengwa huko Mtwara.

4. Ukuaji wa science na technology Kwa Sasa rasilimali nyingi ambazo zilikua hazivuniki lakini Kwa Sasa Kwa mashine za kisasa za bei nafuu. Zimefanya hata wazawa na wageni wakizitumia kuvuna rasilimali zilipo mkoani Mfano Iringa kumekuwepo na viwanda vingi vya playwood ambavyo Kwa Sasa vingi vinamatawi Njombe hivi vimeifanya Dar kupunyuliwa mkiani Kwa uchumi na Iringa na uwepo wa solar na bodaboda n.k umefanya watu waweze kulima hata sehemu za mbali.

5.Ukuwaji wa center nyingine za kibiashara kama vile Mwanza, Makambako na Dodoma kutapunguza umaarufu wa Dar.

Karibu Kwa mjadala
98% mapato yote ya nchi yapo Dar....hizo ndoto labda miaka 300 huko .....
 
Mkuu una point ila mkuu dar ndio hub ya hii nchi so ni kila kitu kwa sasa labda miaka mingi ijayo ila bado dar inajitosheleza kwa kila kitu masta na hii nchii kwa ukubwa sana unaitegemea dar es salaam ndio mana kila siku wanajitahid kufix miundombinu ili kuweza kuendana na mahitaji ya watu wanaokuja dar kila siku mamia kwa mamia na wakija hawatoki hata kama wanashindia mlo mmoja…
Fact sheet ya Dar kubwa sana....98% mapato yoooote Tanzania yanatola Dar....labda 500 yrs to come sio saaaa
 
Pamoja na yote hayo mmepunyuliwa mkiani Kwa maendeleo na iringa
Na veve uvanzile maligo. Aisee kihesa na semtema iingie kwenye huu mjadala, mji ambao ukiona mtu anaendesha vx v8 ni Salim Asas na kina foward, pamoja na kina Mt, na yule mtoto wa Tako(ivory) anaitwa suwel sijui, Dar watu kama kina mt wapo zaid ya 2000 mkuu alafu sio waarabu ni wandengereko wenzio masta, mkuu Gangilonga usiiweke hapa be, upulike ?
 
Wakuu ni hivi kutokana Hali ilivyosasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi.

1. Kuhamishwa Kwa ikulu na ofisi za serikali. Hii imepunguza idadi kubwa ya watu ambao wangelazimika kusafiri na kuwepo mjini Dar. Hivyo imepunguza wananuzi wa mahitaji na huduma mji Dar es salaam.

2. Ujenzi wa SGR ya Dar Hadi Dodoma hii itapelekea kuhamishwa kwa viwanda vingi kwani vikiwepo Dodoma kutakua na uraisi wa usafirishaji wa mizigo na magarifi kutoka mikoa mingine. Pia viwanda vingi vitapenda kuwa karibu na ofisi za serikali.

3. Ujenzi wa miundo mbinu Bora Kwa mikoa mingine Kwa kipindi kifupi kilichopita tumeshuhudia ujenzi wa miundo yenye tija Kwa mikoa mingine Mfano mpango wa upanuzi wa bandari ya Mtwara na ya Mbambabay pia ujenzi wa reli ya Mbambabay Hadi Mtwara. Kwa hiyo baadhi ya mizigo itapungua bandari ya Dar pia baadhi ya viwanda vitajengwa huko Mtwara.

4. Ukuaji wa science na technology Kwa Sasa rasilimali nyingi ambazo zilikua hazivuniki lakini Kwa Sasa Kwa mashine za kisasa za bei nafuu. Zimefanya hata wazawa na wageni wakizitumia kuvuna rasilimali zilipo mkoani Mfano Iringa kumekuwepo na viwanda vingi vya playwood ambavyo Kwa Sasa vingi vinamatawi Njombe hivi vimeifanya Dar kupunyuliwa mkiani Kwa uchumi na Iringa na uwepo wa solar na bodaboda n.k umefanya watu waweze kulima hata sehemu za mbali.

5.Ukuwaji wa center nyingine za kibiashara kama vile Mwanza, Makambako na Dodoma kutapunguza umaarufu wa Dar.

Karibu Kwa mjadala
Hizi ndoto walikuwa nazo watu kama mwaka 2017 Jiwe alipokuwa anahamisha Serikali .Leo wenzio wameshaamka usingizinibbado ya kugundua kuwa walikuwa wanaota!
Nawe amka ,ni ndoto tu hiyo!
 
Mwana makambako unachekesha Sana
Dar inawaumiza Sana vichwa na mnajilaumu kwann hamkuzaliwa dar,
Lakini mamdogoo, nauli ya kutoka huko ulipo hadi huku dar si haifiki hata laki? Sasa si uje tu huku au nenda hata majiji mengine kama Mwanza na Arusha maana wenzako kibao wako huku wanafanya maisha,
Toka huko jangwani na porini uje huku mjini wanapoishi watu ,
Unaishi jangwani kwani we ngamia unataka kupandwa baasi tutakupanda,
Pori waachie simba,swala na wazee wa wrong turn tu we njoo jijini
Aisee, nlishawa kuwa na jamaa zangu nasoma nao mkoa fulan wakawa wanaponda sana dar siku ya kuja ndio mentality zap zilichench , kuna mdogo wangu alikuwa anafanya kazi mwanza waliposema tunakuhamishia dar aligoma katu katu wakamwambia wewe lazima uende kule yule wa kule aje huku manake yule mlevi sana sasa akakubali kishingo upande akaja sasa ana miaka miwili hataki tena ishue ya kuondoka na anajishangaa kwanini alikuwa anangangania kukaa na wachimba chumvi huko mbele , kashainvest na kazi anafanya na maisha yanaenda inakuaga rahis sana kuilinganisha dar na kijiji chako ukiwa huko kijijin kwako ila ukifika mjini ukakaa mifumo ikakaa vizuri unaanza kuiona tofauti….
 
Mwana makambako unachekesha Sana
Dar inawaumiza Sana vichwa na mnajilaumu kwann hamkuzaliwa dar,
Lakini mamdogoo, nauli ya kutoka huko ulipo hadi huku dar si haifiki hata laki? Sasa si uje tu huku au nenda hata majiji mengine kama Mwanza na Arusha maana wenzako kibao wako huku wanafanya maisha,
Toka huko jangwani na porini uje huku mjini wanapoishi watu ,
Unaishi jangwani kwani we ngamia unataka kupandwa baasi tutakupanda,
Pori waachie simba,swala na wazee wa wrong turn tu we njoo jijini
Checheche iniumize kichwa dar ambayo idadi kubwa ya vijana wanaishi Kwa kubeti, udalali, uchuuzi, kuuzi miili, wezi wanaume kuolewa kimsingi watu wengi dar hawana professional wapowapo tu. Makambako porini pole iulize serikali yako kwanini inataka kujenga solo la kimataifa. Na usicho kijua wakinga wengi wanaowasumbua huko dar Wameanzia hapa.
 
Hali ya hewa ya Dodoma peke yake ni kichapo, mtu unapauka kama mdudu sometimes! Waliojiwekeza Dar toka mkoloni hawakukosea, sema ndio hivyo tena, kunavigezo waliona (kimtazamo wangu lakini), ndiyo maana mji huu umeendelea kdg. Dar ukidondoka tu, wiki mbili nyingi, unatakata!
Mbona dar joto sana mtu unsweat mda wote tu hii nayo ni kero
 
Na veve uvanzile maligo. Aisee kihesa na semtema iingie kwenye huu mjadala, mji ambao ukiona mtu anaendesha vx v8 ni Salim Asas na kina foward, pamoja na kina Mt, na yule mtoto wa Tako(ivory) anaitwa suwel sijui, Dar watu kama kina mt wapo zaid ya 2000 mkuu alafu sio waarabu ni wandengereko wenzio masta, mkuu Gangilonga usiiweke hapa be, upulike ?
2000 wanaendesha vx hafu 1m maskini Chali wanalipwa buku nne Kwa Mo na wahindi wenzie.
 
Ikipatikana sehemu kama Wavuvi Camp ama Bara beach Kwa Dodoma basi nitaamini.
Ahahaha ahahaha BARA BEACH NOMA NJIA YANGU HIYO YA KWENDA UNUNIO. Watu wengi wakija dar wananyooka na morogoro road mpaka fire then kulia wanaitafuta congo wanazunguka wanapachez vitu vyao wakati wakurud wanapita karume, ilala, buguruni sheli , dampo, garage, hao riverside, ubungo wanaitafuta mbez ya magufuli stand, wanarud walipotoka wanaanza kutukana sasa siku akipita kuanzia round about ya maringo kwenda mbele haamini na anachokiona , Tukubali tu Dar ni mkoa wenye eneobla mraba dogo ila mishe zake zimeshindikanaa
 
Back
Top Bottom