Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Itaondoa ulazima wa watu kufika Dar, ina maanisha watu wataenda kuchukulia mizigo dodoma ambayo nayo itapunguza commercial value ya Dar.Wanavyosema hizo bandari kavu (ICDs) sijui zitafanya bandsri ya Dar idolole utafikiri hiyo mizigo itakuwa linashushwa kwejye hizo ICDs na ndege
ICDs zikiongezeka basi wajue na bandari ya Dar ina maana itakuwa busy zaidi
Na kwenye bandari labda kama ikivyosemekana kuwa bandari ya bagamoyo itasimamisha shughuliza za bandari nyingine zote. Ila ikiwa tofauti, bandari ya Tanga na Mtwara zikifikia full operation, Dar kutapoa kiasi maana itapoteza kanda ya kaskazini na kusini na lake zone kiasi
Dar kuondolewa supremacy yake itachukua muda mrefu zaidi unless hizo investment za serikali zingeenda kwenye mji kama mwanza ambao naturally Tu unaweza pambana na Dar kwenye commercial influence..
ila hata kwa hali ya sasa tu, Dar inazidi kupunguza ushawishi wake