Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Wanavyosema hizo bandari kavu (ICDs) sijui zitafanya bandsri ya Dar idolole utafikiri hiyo mizigo itakuwa linashushwa kwejye hizo ICDs na ndege

ICDs zikiongezeka basi wajue na bandari ya Dar ina maana itakuwa busy zaidi
Itaondoa ulazima wa watu kufika Dar, ina maanisha watu wataenda kuchukulia mizigo dodoma ambayo nayo itapunguza commercial value ya Dar.

Na kwenye bandari labda kama ikivyosemekana kuwa bandari ya bagamoyo itasimamisha shughuliza za bandari nyingine zote. Ila ikiwa tofauti, bandari ya Tanga na Mtwara zikifikia full operation, Dar kutapoa kiasi maana itapoteza kanda ya kaskazini na kusini na lake zone kiasi

Dar kuondolewa supremacy yake itachukua muda mrefu zaidi unless hizo investment za serikali zingeenda kwenye mji kama mwanza ambao naturally Tu unaweza pambana na Dar kwenye commercial influence..

ila hata kwa hali ya sasa tu, Dar inazidi kupunguza ushawishi wake
 
Sasa si ni bado bandari ya Dar itakuwa inapokea mizigo?
 

Kikubwa hapo ni population ambayo kwa kiasi kiukubwa ni watu wa kipato cha kati kwa sababu ni maskini wachache sana wa dar wanaweza kula sato na sangara zaidi ya dagaa mchele

Sasa hao wa kipato cha kati ni kina nani ? ?..

Wafanyakazi wa serikali, diplomats, watu wanaofanya kazi kwenye international NGO's na mashirika makubwa binafsi

Sasa hawa wote serikali ikihamia Dar, ni nani atabaki hapo kwa ajili ya operations

Msalato airport ikiisha na kupokea international flights, unadhani hao kina Obama au international delegates watashukia dar

Haya kwenye huduma za Afya, unaongelea enzi za muhimbili kuwa the main deal.. Juzi tu hapo makamu wa rais katibiwa Benjamin. Unadhani kiongozi gani atarudi muhimbili

Mtoa mada hajaongelea enzi za dar kuwa kila kitu, anaongelea zama hizi ambapo Dar si kila kitu
 
Hiyo Dom itakuwa ni ICD lakini mizigo itapitia bandari ya Dar

Kwa hiyo bandari ya Dar itakuwa imepungukiwa nini hapo?

Maana kama ni ICDs hata hapa Dar ziko nyingi tu lakini bado bandari ya Dar inapiga kazi

Kazi ya ICDs ni ku-handle full and empty containers then containers are moved from ICD to a ship and vice versa via road or rail transport
 
Pamoja na yote hayo mmepunyuliwa mkiani Kwa maendeleo na iringa
 
Mkuu una point ila mkuu dar ndio hub ya hii nchi so ni kila kitu kwa sasa labda miaka mingi ijayo ila bado dar inajitosheleza kwa kila kitu masta na hii nchii kwa ukubwa sana unaitegemea dar es salaam ndio mana kila siku wanajitahid kufix miundombinu ili kuweza kuendana na mahitaji ya watu wanaokuja dar kila siku mamia kwa mamia na wakija hawatoki hata kama wanashindia mlo mmoja…
 
98% mapato yote ya nchi yapo Dar....hizo ndoto labda miaka 300 huko .....
 
Fact sheet ya Dar kubwa sana....98% mapato yoooote Tanzania yanatola Dar....labda 500 yrs to come sio saaaa
 
Pamoja na yote hayo mmepunyuliwa mkiani Kwa maendeleo na iringa
Na veve uvanzile maligo. Aisee kihesa na semtema iingie kwenye huu mjadala, mji ambao ukiona mtu anaendesha vx v8 ni Salim Asas na kina foward, pamoja na kina Mt, na yule mtoto wa Tako(ivory) anaitwa suwel sijui, Dar watu kama kina mt wapo zaid ya 2000 mkuu alafu sio waarabu ni wandengereko wenzio masta, mkuu Gangilonga usiiweke hapa be, upulike ?
 
Hizi ndoto walikuwa nazo watu kama mwaka 2017 Jiwe alipokuwa anahamisha Serikali .Leo wenzio wameshaamka usingizinibbado ya kugundua kuwa walikuwa wanaota!
Nawe amka ,ni ndoto tu hiyo!
 
Aisee, nlishawa kuwa na jamaa zangu nasoma nao mkoa fulan wakawa wanaponda sana dar siku ya kuja ndio mentality zap zilichench , kuna mdogo wangu alikuwa anafanya kazi mwanza waliposema tunakuhamishia dar aligoma katu katu wakamwambia wewe lazima uende kule yule wa kule aje huku manake yule mlevi sana sasa akakubali kishingo upande akaja sasa ana miaka miwili hataki tena ishue ya kuondoka na anajishangaa kwanini alikuwa anangangania kukaa na wachimba chumvi huko mbele , kashainvest na kazi anafanya na maisha yanaenda inakuaga rahis sana kuilinganisha dar na kijiji chako ukiwa huko kijijin kwako ila ukifika mjini ukakaa mifumo ikakaa vizuri unaanza kuiona tofauti….
 
Checheche iniumize kichwa dar ambayo idadi kubwa ya vijana wanaishi Kwa kubeti, udalali, uchuuzi, kuuzi miili, wezi wanaume kuolewa kimsingi watu wengi dar hawana professional wapowapo tu. Makambako porini pole iulize serikali yako kwanini inataka kujenga solo la kimataifa. Na usicho kijua wakinga wengi wanaowasumbua huko dar Wameanzia hapa.
 
Mbona dar joto sana mtu unsweat mda wote tu hii nayo ni kero
 
2000 wanaendesha vx hafu 1m maskini Chali wanalipwa buku nne Kwa Mo na wahindi wenzie.
 
Ikipatikana sehemu kama Wavuvi Camp ama Bara beach Kwa Dodoma basi nitaamini.
Ahahaha ahahaha BARA BEACH NOMA NJIA YANGU HIYO YA KWENDA UNUNIO. Watu wengi wakija dar wananyooka na morogoro road mpaka fire then kulia wanaitafuta congo wanazunguka wanapachez vitu vyao wakati wakurud wanapita karume, ilala, buguruni sheli , dampo, garage, hao riverside, ubungo wanaitafuta mbez ya magufuli stand, wanarud walipotoka wanaanza kutukana sasa siku akipita kuanzia round about ya maringo kwenda mbele haamini na anachokiona , Tukubali tu Dar ni mkoa wenye eneobla mraba dogo ila mishe zake zimeshindikanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…