Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Hakuna mkoa wa kuifikia dar nimetembea mikoa mingi tanzania!


Dar ndio mkoa purchasing power ni kubwa. Huku ndizi Moja Kuna maeneo unauziwa 200 na watu wananunua huko mkoani 200 unapewa ndizi hata 3.





Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Kwani nani hajaishi dar jamani ni ushamba tu unawasumbua. Kwamba wageni wakizungu na kichina niwajinga wanavyowekeza mikoani
 
2000 wanaendesha vx hafu 1m maskini Chali wanalipwa buku nne Kwa Mo na wahindi wenzie.
Sasa si ndio inakuwaga hivyo kwenye miji mikubwa hata ukienda mumbai ndio hivyo hivyo, unashindwa kuelewa ? Nliwah kusoma shule ya watu wengi saaana wa div 1.7 wapo wengi na wa 0 wapo wengi vile vile…. Huwez kufananisha bwana Iringa na hata Dodoma saivi… mkoa hauna hata supermaket moja sasa ni wakufananisha kweli ?
 
Sema tu ndizi uko hazipo zinatoka mkoani na zinasafirishwa kwa pesa sio sijui purchasing power ni kubwa
 
Acha kufananisha dsm na mambo ya kipumbavu
 
Mkuu labda aje raisi kichaa, ila serikali haihami Dar, sio leo wala kesho, itafungua makao makuu Dodoma, ila shughuli zile zile na huduma zile zile za makao makuu zitapatikana Dar, yan et siku serikali iseme pale magogoni raisi hatakaa tena pafungwe 😂 hapana aiseee


Kuhusu balozi za kimataifa, hizi wanaamua wao wakae wapi, na sidhani kuna balozi itaenda ikajitese kukaa Dodoma iache Dar,


Dar itapungua nguvu ya ushawishi sawa ila bado itakuwa kinara hapa Tz kwa miaka mingi sana ijayo,
Serikali kufanya mkoa wa pwani kuwa mkoa wa kiviwanda hio ndio ilipiga muhuri kuwa Dar haitafuta utawala wake kwa miaka mingi sana ijayo,
 
Wafanyakazi wa serikali, diplomats, watu wanaofanya kazi kwenye international NGO's na mashirika makubwa binafsi

Sasa hawa wote serikali ikihamia Dar, ni nani atabaki hapo kwa ajili ya operations
Hata Washington na Beijing ni miji ya kiserikali, diplomats, international NGOs na mashirika makubwa duniani yako humo yanaoperate

Lakini GDP za majiji hayo haijaifikia California au Shanghai miji ya kibiashara
 
Mkuu hatuoongelei majengo sijui masuper marketi tuongelea uchumi sawa tuangalia GDP na PPP. Inaweza ukawa na masuper market halafu. Kuna watu ni ombaomba na Kuna watu wanalala nje. Hafu mkoa ambao Hauna supermarket mtu kuzeeka bila nyumba yenye bati na laana.
 
 

Na hapa ndipo tunaongelea miaka mingi ijayo

Tuulize sisi tuliokulia mikoani enzi hizo, mtu ukiskia dar unatetemeka ila siku hizi vitu vilivyo dar, hata mikoani kwa kiasi chake vipo

Na hilo la watu kuivumilia Dar ni kwa sababu kulikuwa hakuna alternative.

chuo kikubwa kipo dar, huduma za kiafya za uhakika "Dar", embassies zote "dar", serikali "Dar", viwanja vya michezo "dar", huduma za mizigo "Dar", HQ za makampuni makubwa hata kama shughuli zake mikoani ila zipo "Dar"

Fikiria vinaanza kuondoka kimoja baada ya kingine, sasa fikiria ikifika siku almost 70% ya vyote viwe dom. Unadhani Dar itabakia kuwa "Dar" Kwenye nchi hii
 
Dar na pwani wanatumia umeme wote zaidi 60% ......viwanda kibao .zaidi 3000...sasa Dodoma vipi hapo ? Fact sheet ndio ziongee sio mihemko
Na hiyo pwani ni maskini kishenzi nayo inaenda kufa na kaka yake dar
 
Kijana rudi tena ufanye upya Research yako....Alafu jitahidi kupunguza siasa kwenye Research yako
 
Watu wanavyosema Dar unadhani hakuna biashara mpya zinazaliwa Dar au wanadhani dar itasimama kuiacha hio mikoa ije,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…