Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Kuleni chuma kingine hicho apo JPM angekua hai hiyo dar ingekuwa sawa kigoma tu
Screenshot_20231022-164143.jpg
 
Yaani watu wa dar wanatabia za hovyo sijui madawa ya kulevya, sijui wanaume kuolewa yote Tisa ila wizi Sasa yaani dar majitu ni majizi mno ona Sasa Hadi serikali imeamua kuuza bandari kisa tabia zenu za udokozi.
Screenshot_20231022-163330.jpg
 
Daslam hii maji ya bahari yanatakatisha
Ona Sasa watu wa dar mlivyo hii ni official thread Sasa nyinyi mnakuja kutongozana hapa hivi mbona mna tabia za hovyo mkoani wangechanganya mapenzi na mambo ya msingi sijui kama mnge kula huko dar.
 
Mkuu sio hamna fursa mkuu Nia akili. Wabongo wengi wanaonaga fursa kubwa ni biashara za uchuuzi ambazo nyingi hutumia akili kidogo na mtaji mkumbwa pia hutegemea idadi kubwa ya watu. Lakini fursa zenye kutumia akili kama Mashamba makubwa na viwanda vidogo vidogo vinategemea sana malighafi wa huwa wanakujaga baadae. Mbona wazuungu, wachina saizi hata wakenya wanagombania huku mkoani.
Hao unaosema wanaogombani unajua wana mitaji kiasi gani na unajua sera za nchi zinawalinda kiasi gani?.
 
Hao unaosema wanaogombani unajua wana mitaji kiasi gani na unajua sera za nchi zinawalinda kiasi gani?.
Mitaji ni kidogo kidogo mkuu mbona Kuna walimu huko Ruvuma wanalima Kwa kuanza na eka 1 Hadi kufikia eka 30. Wachina na wakenya wengi wanabebana sana wengine wanafika kama wafanyakazi Kwa wengine baada ya mda wanaanzisha vya kwao.
 
Sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom