entry
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 286
- 539
Mjadala sio uzuri wako ni kitu kingine madamKumbuka watoto wazuri wote tupo dar
Bata zote za kueleweka zipo dar
Sent from my LG-H910PR using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjadala sio uzuri wako ni kitu kingine madamKumbuka watoto wazuri wote tupo dar
Bata zote za kueleweka zipo dar
Daslam hii maji ya bahari yanatakatishayaan na unavonivutia
Ona Sasa watu wa dar mlivyo hii ni official thread Sasa nyinyi mnakuja kutongozana hapa hivi mbona mna tabia za hovyo mkoani wangechanganya mapenzi na mambo ya msingi sijui kama mnge kula huko dar.Daslam hii maji ya bahari yanatakatisha
Bora hata umemwambia
Hao unaosema wanaogombani unajua wana mitaji kiasi gani na unajua sera za nchi zinawalinda kiasi gani?.Mkuu sio hamna fursa mkuu Nia akili. Wabongo wengi wanaonaga fursa kubwa ni biashara za uchuuzi ambazo nyingi hutumia akili kidogo na mtaji mkumbwa pia hutegemea idadi kubwa ya watu. Lakini fursa zenye kutumia akili kama Mashamba makubwa na viwanda vidogo vidogo vinategemea sana malighafi wa huwa wanakujaga baadae. Mbona wazuungu, wachina saizi hata wakenya wanagombania huku mkoani.
Mitaji ni kidogo kidogo mkuu mbona Kuna walimu huko Ruvuma wanalima Kwa kuanza na eka 1 Hadi kufikia eka 30. Wachina na wakenya wengi wanabebana sana wengine wanafika kama wafanyakazi Kwa wengine baada ya mda wanaanzisha vya kwao.Hao unaosema wanaogombani unajua wana mitaji kiasi gani na unajua sera za nchi zinawalinda kiasi gani?.
Sawa mkuu.Mitaji ni kidogo kidogo mkuu mbona Kuna walimu huko Ruvuma wanalima Kwa kuanza na eka 1 Hadi kufikia eka 30. Wachina na wakenya wengi wanabebana sana wengine wanafika kama wafanyakazi Kwa wengine baada ya mda wanaanzisha vya kwao.
Kuna uwezekano mkumbwa wa viwanda kuendelea kujengwa hapo makambako
La kusikitisha wengi ni kijungujiko!Labda miaka 50 ijayo mkuu.Dar inawatu wengi mnooooooooo
Kuwa serious mkuu, hata mia moja ni michache50 mingi sana 10 tu inahitajika
Unamaanisha Nini?La kusikitisha wengi ni kijungujiko!
Hoja tafadhaliKuwa serious mkuu, hata mia moja ni michache
🤣🤣🤣🤣🤣Tena ihamie huko huko Dodoma,na tutahama nayoLabda bahari ihame
😂😂 mnailinda bahari yenu🤣🤣🤣🤣🤣Tena ihamie huko huko Dodoma,na tutahama nayo