Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Tatizo nikiwaambia mambo ya ndani ya kiuchumi mna leta habari za bahari beach kwaiyo wengi kunielewa habari hizi humu ni ngumu.
Bora tu tuongelee bahari maana unaongelea impossibilities,,Yaani Bora hata ungesema Mwanza kuliko hiyo Dodoma yako
 
JAMANI WATU WA DAR UCHUMI MKUMBWA SIO KUWA NA MIMAJENGO SIJUI BAHARI BEACH SIJUI SUPERMARKET. HIVYO VINATOKANA NA POPULATION DENSITY KUWA KUMBWA. UCHUMI UNAPIMWA NA GDP NA PPP. HATA CHINA MIJI MINGI IMEJENGEKA LAKINI HAIWEZI KUIPITA UCHUMI GERMANY. HAPO SIJUI MMENIELEWA.
 
Yaani watu wa dar wanatabia za hovyo sijui madawa ya kulevya, sijui wanaume kuolewa yote Tisa ila wizi Sasa yaani dar majitu ni majizi mno ona Sasa Hadi serikali imeamua kuuza bandari kisa tabia zenu za udokozi.View attachment 2789289
Wewe jamaa hueleweki ni una mbona mada yako na vitu unavochangia ni tofauti ...ondoa ego na person attack aliokuzidi kakuzidi tu ...Yani ni kichaa peke atakae kuamini eti makambako ni bora kuliko dar ...wakati makambako hata kwa chanika tu haifui dafu
 
Dar ipo complete kila sector ndio tatizo yaani location yenyewe tu ni supportive kama mji kukua zaidi mfano kuna bandari , airport kubwa na mtandao mkubwa wa lami kwenda mikoani.

Mji kidogo unaofuata labda Mwanza kama ungewekezwa vizuri na mazingira yake ndio mrithi wa Dar.

Ila Dodoma pale ukiisha kama mjusi unavyopauka ,hakuna cha maana cha asili hizo nyasi za kutafuta ,kazi kula ubuyu na zabibu mpaka sauti ikauke.

Dodoma itakuwa kuja mji weny gharama zaidi kutokea maana maji shida , vyakula karibia vyote vinatokea mkoani
....Wengine tukikaa pale Dodoma ni kupate mafua tu daily.
 
C'moon hata huko uliko kila mtu dream yake ni Dar,hata wewe mwenyewe unayo hiyo dream Sasa Kwa Nini tusipaone kama paradiso
Dar ni paradiso kutokana na mikoa yenu mlio zaliwa ni choka mbaya. Ila Kwa sie ambaye tumezaliwa mikoa yenyewe inaifukuzia dar hatuwezi ona huko. Kwa maana
 
Dar ipo complete kila sector ndio tatizo yaani location yenyewe tu ni supportive kama mji kukua zaidi mfano kuna bandari , airport kubwa na mtandao mkubwa wa lami kwenda mikoani.

Mji kidogo unaofuata labda Mwanza kama ungewekezwa vizuri na mazingira yake ndio mrithi wa Dar.

Ila Dodoma pale ukiisha kama mjusi unavyopauka ,hakuna cha maana cha asili hizo nyasi za kutafuta ,kazi kula ubuyu na zabibu mpaka sauti ikauke.

Dodoma itakuwa kuja mji weny gharama zaidi kutokea maana maji shida , vyakula karibia vyote vinatokea mkoani
....Wengine tukikaa pale Dodoma ni kupate mafua tu daily.
Hatuzungumzii mji tunazungumzia uchumi wa mkoa mzima
 
Wewe jamaa hueleweki ni una mbona mada yako na vitu unavochangia ni tofauti ...ondoa ego na person attack aliokuzidi kakuzidi tu ...Yani ni kichaa peke atakae kuamini eti makambako ni bora kuliko dar ...wakati makambako hata kwa chanika tu haifui dafu
Nani? kasema makambako ina ipita Dar nani ana ego niwasiwasi wako tu mkuu.
 
Wewe jamaa hueleweki ni una mbona mada yako na vitu unavochangia ni tofauti ...ondoa ego na person attack aliokuzidi kakuzidi tu ...Yani ni kichaa peke atakae kuamini eti makambako ni bora kuliko dar ...wakati makambako hata kwa chanika tu haifui dafu
Kwa yeyote aliyetembea naamini atakubaliana nami huwezi kuilinganisha dar na mji wowote hapa Tanzania. Kuna vidokezo vya kiuchumi wafanyabiashara wa kimataifa huwa wanaangalia kabla ya kuwekeza. Ndio maana shoprite, game walmart nk waliweka maduka yao dar na si kwingine popote Tanzania .
Kfc ana outlets zaidi ya saba jijini. Dar , mikoani hajaweka hata moja . wanajua hakuna. Uchumi wa kunsustain biashara yao.
 
Wakuu hatuzungumzii mji mbona mna vichwa vigumu tunazungumzia uchumi wa mkoa husika yaani GPD na PPP hatupo kuangalia mashoprite sijui hayo yamewekezwa Kwa sababu dar population density ni kubwa ambayo ni rasilimali kubwa ya dar. Ni sawasawa na mwingine akaenda kuweka kiwanda Cha unga Ruvuma Kwa sababu Kuna mahindi mengi.
 
Back
Top Bottom