Hiyo mikutano itakuwa imepoa bila Dk. Slaa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Upinzani yote siyo CHADEMA pekee, hamna mtu anayeweza kucheza na umma/ nyomi Kama Dk Wilbrod Slaa, siyo Mbowe, siyo Lissu wala Zitto. Kwa mara hii wanaingia ukumbini bila huyu gwiji orator ndg Slaa.

Upinzani yote hamna mtu atakayeweza kuunganisha takwimu, uchambuzi pamoja na uchaguzi sahihi wa maneno kufikisha point kwa hadhira.
Ngojea tuone itakavyofanya kazi.
 
Nchi wanasiasa wanawafanya watu kama misukule
Hivi bado mnaamini mageuzi ya kweli yataletwa na vyama,wanasiasa

Ova
 

Pumzika ulale.
 
Ila wabongo 🀣🀣🀣🀣🀣 kila jambo na enzi zake! Slaa alibebwa na pale alipokua that time. Kwann alipokua CCM hakua maarufu than he was after CCM? Kama kwel ni bora aunge mkono juhudi tuone sparks zake!!!!
 
mfuate huyo slaa aliko, mwambie atelekeze supermarket yake huko sweden arudi muanzishe chama cha siasa.
 
Si yuko ccm , kwanini asipande jukwaa 1 na Lusinde ?
 
CDM waanze maridhiano na Dr Slaa Kwa maslah mapana ya chama na nchi,

Maana Lowassa amesharudi alikotoka baada ya kumaliza mission yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…