MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Upinzani yote siyo CHADEMA pekee, hamna mtu anayeweza kucheza na umma/ nyomi Kama Dk Wilbrod Slaa, siyo Mbowe, siyo Lissu wala Zitto. Kwa mara hii wanaingia ukumbini bila huyu gwiji orator ndg Slaa.
Upinzani yote hamna mtu atakayeweza kuunganisha takwimu, uchambuzi pamoja na uchaguzi sahihi wa maneno kufikisha point kwa hadhira.
Ngojea tuone itakavyofanya kazi.
Upinzani yote hamna mtu atakayeweza kuunganisha takwimu, uchambuzi pamoja na uchaguzi sahihi wa maneno kufikisha point kwa hadhira.
Ngojea tuone itakavyofanya kazi.