Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Unawezaje kuitambua wizara batili?Sote tunajua shida ya nchi hii sio Wizara ...
Shida ya Nchi hii ni CCM
Tatizo kubwa nchi hii ni CCM Tu wala sio wizara..
Kwanini?
Kwasababu kwa CCM wao ni chama kwanza,
Utu/watu baadae...
Hiyo ndio slogan yao..
Kwa maana hiyo hiyo wizara itajazwa mavijana ya CCM Tu na ili kuhudumiwa itakupasa uwe mccm kwanza..
Kwahiyo naona hapa badala ya kutulizwa vijana tutegemee kejeli na dharau za UVCCM kutambia vijana wa vyama vingine..
Maridhiano which?
Maridhiano what?
Kwanini msifanye maridhiano kabla ya uchaguzi??
D9
Nitakuwepo
Tuna uzoefu na upuuzi wa ccm ndani ya nchi hii. Tunajua ni kwa kiwango gani ccm imejimilikisha fursa za serekali, na inafanya hivyo kuhakikisha ccm inaendelea kubaki madarakani kwa shuruti.Huo ni mtazamo wako lakini wizara haitakuwa wizara ya UVCCM ila wizara ya vijana wote nchini ,ukijiweka katika mtazamo huu kila muda utaona kinachofanywa sio sahihi
Ccm hawawezi kukubali hilo, wanahakikisha kila sehemu wanakuwa na udhibiti ili waendekee kubaki madarakani. Kama wanapandikiza maAgent wao kwenye vyama vya upinzani, ndio wataacha huko kwa vijana ambao ni homa kwao?Napendekeza tuanzishe chama cha umoja wa vijana ambacho kitakuwa hakifungamani na chama chochote cha siasa kiwe na lengo la kuwapambania vijana na hicho chama viongozi wawe wanadumu kwa miaka 3 akifanya vizuri tunamuongeza 3 na kwenye maridhiano kama vijana tulioumia zaidi hatutaki kuwakirishwa na chama chochote cha siasa tutataka kuona serikali ya umoja wa vijana inahusika