Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
Imani iliyodhoofishwa inaanza kuboreka upya,mpaka kuongea hivyo ni dhahiri bado anaamini katika nguvu kubwa ya washirika wake.Iran ya kazi gani wakati hizbullah na Hamas wanatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani iliyodhoofishwa inaanza kuboreka upya,mpaka kuongea hivyo ni dhahiri bado anaamini katika nguvu kubwa ya washirika wake.Iran ya kazi gani wakati hizbullah na Hamas wanatosha
Na watapigika kweli kwelihii vita itakuwa mbaya sana sio kama Gaza, Hizbula wanajiweza kwa silaha, hivyo vita ya aridhini itakuwa ngumu sana kwa wa Israel.
Fad 3&4 hazijadunguliwa babu, makombora ya iron domes yametapakaa mitaani yakiwa intactMakombora mengi yamedunguliwa.
Nakusihi kaka huyo jamaa achana naye atakuumiza tu kichwa.Fad 3&4 hazijadunguliwa babu, makombora ya iron domes yametapakaa mitaani yakiwa intact
Sasa mbona hizo ofisi za Mosad ziko intactFad 3&4 hazijadunguliwa babu, makombora ya iron domes yametapakaa mitaani yakiwa intact
— ❗️🇮🇱/🇮🇷 NEW: The IDF is evacuating 3 military airbases and an intelligence base North of Tel AvivSasa mbona hizo ofisi za Mosad ziko intact
Ninakuuliza kingine unanijibu kingine.— ❗️🇮🇱/🇮🇷 NEW: The IDF is evacuating 3 military airbases and an intelligence base North of Tel Aviv
@Middle_East_Spectstor
🇮🇱🇮🇷⚡Israeli PM's Zion Wing airplane is leaving occupied territories to an unknown safe place.Ninakuuliza kingine unanijibu kingine.
Makombora ya Magaidi sio Guided acha kudandanya.umeziona au umezisikia tu