WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,012
Wewe ni mgonjwa ustaadh, ndio mlivyokuwa mnajazana ujinga ooh Israel hawezi ingiza jeshi Gaza, akili zenu mnazijua nyie wenyewe magaidiUpo na kafiri na wenzio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mgonjwa ustaadh, ndio mlivyokuwa mnajazana ujinga ooh Israel hawezi ingiza jeshi Gaza, akili zenu mnazijua nyie wenyewe magaidiUpo na kafiri na wenzio?
Mpuuzi mmoja wewe , unajua maana ya multiple entry underground tunnels and bunkers system ?,we unadhani kulipua au kuziba entry point moja ndio unakuwa umeua watu walioko huko mita 20 mpaka thelathini chini ya ardhi ?Hamas ni majoga yanajificha hospital za raia...kama ndio shield yao ....raia wote wanaombwa watoke humo ......ngoma wanashusha kutu kizito walio mahandaki watajua .........ndio kaburi lao milele
Bichwa kubwa akili umejaza mavi tuWewe ni mgonjwa ustaadh, ndio mlivyokuwa mnajazana ujinga ooh Israel hawezi ingiza jeshi Gaza, akili zenu mnazijua nyie wenyewe magaidi
Kwani Israel unadhani hawakui hizo multiple entries? Ziba zote.....wanazijua zote ...supply zote maji na ocygen wanazijuaa....ungetulia .....kusaka amabi Hamas wamelikanyaga....with time systems zaozote za underground zitakuwa compromised....suala muda tu ....hutaki achaMpuuzi mmoja wewe , unajua maana ya multiple entry underground tunnels and bunkers system ?,we unadhani kulipua au kuziba entry point moja ndio unakuwa umeua watu walioko huko mita 20 mpaka thelathini chini ya ardhi ?
Fool
Akijibu ktk nchi au jeshi lenye nguvu sawa hakuna noma. Akipiga raia kama anavyofanyaga naye atapigiwa raia wake vile vile. Na akikutana na nchi yenye nguvu ya anga sijui hizo ndege zake anazojidai nazo Gaza ataziweka wapiIsrael nao wakijibu utasikia wafia dini wa msanga wanavyokaukwa mate kuilaani 'Isarael'😀
Hezbollah 2006 iliwachapa Israel ikaomba amani🤣🤣🤣hilo ni jambo jema ili ipatikane sababu ya kumsawazisha baada ya kumalizana na hamas. though hezbollah na huth wanajitahidi sana kutaka kumpotezea raman israel badala ya kumaliza kabisa gaza awageukie wao. sasa israel anawaacha tu hataki wampotezee focus. wao kama wababe, wasiwe wanarusha moja, lingine wiki ijayo, wafululize asubuhi, mchana jioni kurusha rocket waone kitatokea nini. ukiona israel aanakuja anapiga pale ilipotoka roketi na kurudi kuendelea na gaza jua hao hawana madhara sana kwake na amewadharau.
Magaidi wakubwa ni makagiri wa USA wao ndio wameunda magenge mengi ya jihad ili kudhoofisha tawala nyingi hapa ulimwenguni.Huwez kuutofautisha au kuutenganisha uvaa kobaz na ugaidi
Mvua ya mabom ikianza kunyesha Lebanon usianze kulia humu ufurahi kama ulivyo report hii taarifa kwa tabasamuVyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, wakazi wa miji na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko kwenye mpaka wa Lebanon wanakimbia kwa umati kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika historia ya Israel sambamba na kuendelea Hizbullah ya Lebanon kuyapiga kwa makombora maeneo tofauti ya utawala wa Kizayuni kama sehemu ya kuwaunga mkono wananchi wa Ghaza.
Televisheni ya al Mayadeen imevinukuu vyombo vya habari vya Kizayuni vikitangaza kuwa, miji na vijiji vyote vya eneo la al Khalil al A'laa pamoja na kituo kikuu cha komandi kuu ya kijeshi ya Israel wamekimbia eneo hilo kwa kuhofia mashambulizi ya wanamapambano wa Kiislamu. Vyombo hivyo vya Israel vimesema, hadi hivi sasa haijawahi kutokea wimbi kubwa kiasi hiki cha Wazayuni kukimbia maeneo yao tangu ulipounda utawala pandikizi wa Kizayuni zaidi ya miaka 75 iliyopita.
Vyombo hivyo vya Kizayuni vimesema, tangu Hizbullah ya Lebanon ilipoanzisha mashambulizi ya kuwaunga mkono wananchi wa Ghaza, makumi ya vitongoji vya walowezi wa Kizayuni karibu na mpaka wa Lebanon vimebaki vitupu bila ya watu. Lakini kuondoka kikamilifu watu wote katika miji ya eneo la al Khalil al A'laa ni jambo ambalo halijawahi kutokea katika historia yote ya utawala wwa Kizayuni wa Israel.
![]()
Huku hayo yakiripotiwa, harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeendelea kuyapiga kwa makombora maeneo tofauti ya Israel ikiwa ni kuwaunga mkono wanamapambano wa Palestina wanaendesha mapambano ya kishujaa kwenye Ukanda wa Ghaza pamoja na wananchi madhlumu lakini wenye nguvu na subira kubwa wa ukanda huo.
Taarifa zinasema kuwa, jana pia Hizbullah iliitwanga kwa makombora kambi ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
Televisheni ya al Mayadeen imetangaza katika ripoti yake nyingine kwamba, Hizbullah ya Lebanon imejibu jinai za Israel za kushambulia hospitali za Ukanda wa Ghaza kwa kuipiga kwa makombora kambi ya kijeshi ya al Asi ya utawala wa Kizayuni, kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni
Kafiri.upo ? Nilidhani umeenda kuwakoa majususiMvua ya mabom ikianza kunyesha Lebanon usianze kulia humu ufurahi kama ulivyo report hii taarifa kwa tabasamu
Hahaha nipo rafiki angu psychopath wa dini vipi unaonaje Hali ya Vita mnashinda kweli?Kafiri.upo ? Nilidhani umeenda kuwakoa majususi
Kwa hiyo,taifa la Israel halikuwepo miaka ya nyuma au? Mi sijapata hisoria ya hii nchi. Mi nimeona kwenye ramani kama Palestina imezingirwa na Israel. Sasa najiuliza nchi moja ndani ya nyingine!!!Hivi ni nani aliyetoa wazo la kwenda kuanzisha nchi ya Israel juu ya ardhi ya waarabu? Ha kama alikuwa amevuta bangi alikuwa chizi. Waarabu na wafilisti ni watu wa visasi na hawasahau vizazi vyao vyote kwa chuki. 1948 wangekuja kuiteka uganda wakajenga juu yake wala kusingekuwa na shida kubwa kama hii ya sasa hivj.
Hakuna namn a yeyote Israeli wataweza wamaliza Palestina.
Tumepokea maagizo mkuuIsrael malizeni vita , piga bomu la nyukilia vita imalizike
Hizi mada na kushauriana na hawa maamuma wavaa kobazi na vitopu binafsi niliacha baada ya kuona hawajaposti wala andika au kuzungumzia chochote kuhusu mauaji ya watu 770 pale Sudan yaliyotekelezwa na waislamu wenzao. Hapo ndio niliwadharau sana. Nawashangaa mnavyoongea na kushauriana nao. Hawana akili hata moja hawa wavaa makobazi. Unapoteza muda wako, hapo ni sawa na kupigia mbuzi gitaa.Wewe ni mgonjwa ustaadh, ndio mlivyokuwa mnajazana ujinga ooh Israel hawezi ingiza jeshi Gaza, akili zenu mnazijua nyie wenyewe magaidi
Wanashinda njaa,sasa wanaomba msaada wa chakulaHahaha nipo rafiki angu psychopath wa dini vipi unaonaje Hali ya Vita mnashinda kweli?
Uganda wakati huo walikuwa -6M, Palestina walikuwa hawafiki 1.5M...Hivi ni nani aliyetoa wazo la kwenda kuanzisha nchi ya Israel juu ya ardhi ya waarabu? Ha kama alikuwa amevuta bangi alikuwa chizi. Waarabu na wafilisti ni watu wa visasi na hawasahau vizazi vyao vyote kwa chuki. 1948 wangekuja kuiteka uganda wakajenga juu yake wala kusingekuwa na shida kubwa kama hii ya sasa hivj.
Hakuna namn a yeyote Israeli wataweza wamaliza Palestina.
Kwa akili Yako nadhani unaamini hata Tunisia,Misri,Algeria,Morroco,Sudan,Somalia,Zanzibar nk. Ni ardhi za waarabuHivi ni nani aliyetoa wazo la kwenda kuanzisha nchi ya Israel juu ya ardhi ya waarabu? Ha kama alikuwa amevuta bangi alikuwa chizi. Waarabu na wafilisti ni watu wa visasi na hawasahau vizazi vyao vyote kwa chuki. 1948 wangekuja kuiteka uganda wakajenga juu yake wala kusingekuwa na shida kubwa kama hii ya sasa hivj.
Hakuna namn a yeyote Israeli wataweza wamaliza Palestina.
Waislam wenzio wanauana Sudan hujawahi kuripoti.What is so special about the Gaza War?Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, wakazi wa miji na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko kwenye mpaka wa Lebanon wanakimbia kwa umati kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika historia ya Israel sambamba na kuendelea Hizbullah ya Lebanon kuyapiga kwa makombora maeneo tofauti ya utawala wa Kizayuni kama sehemu ya kuwaunga mkono wananchi wa Ghaza.