Hizbullah yaitwanga tena kwa makombora Israel, Wazayuni wakimbia kwa umati

Hizbullah yaitwanga tena kwa makombora Israel, Wazayuni wakimbia kwa umati

Magaidi wakubwa ni makagiri wa USA wao ndio wameunda magenge mengi ya jihad ili kudhoofisha tawala nyingi hapa ulimwenguni.
Sawq kama ndio wameunda basi wamehusika pia kuvifuta sasa shida ipo wapi.? Hzo propaganda mkiziacha itakua mmepata mwanga wavaa kobaz
 
Hivi ni nani aliyetoa wazo la kwenda kuanzisha nchi ya Israel juu ya ardhi ya waarabu? Ha kama alikuwa amevuta bangi alikuwa chizi. Waarabu na wafilisti ni watu wa visasi na hawasahau vizazi vyao vyote kwa chuki. 1948 wangekuja kuiteka uganda wakajenga juu yake wala kusingekuwa na shida kubwa kama hii ya sasa hivj.
Hakuna namn a yeyote Israeli wataweza wamaliza Palestina.
wayaudi walikwepo hapo miaka na miaka ila waarab wanajaribu kutuonesha kuwa wayaudi na wazayuni wote walikuja mwaka 1948 na hakukuwa na myaudi wala mzayuni aliyekwepo hapo karne kati ya 7 na 19 , waarab wamefanikiwa kuudanganya ulimwengu
 
Tunapo sema waislamu ni magaidi muwe mnaelewa
Kwa mfano hapo walio lipua Israel ni magaidi wa kiislam na hakuna muislam hata mmoja amekemea hilo swala.
waislam wana roho za kishetan ndio maana kila tu dunian ana wakosoa , hawajali usalama wa wengine wanaona pale wanapojibiwa kuwa wameonewa
 
Kila siku hali inakuwa mbaya na wakubwa wadunia baada ya kusuluhisha wanaamua kusupport upande mmoja na mpaka kufikia hatua ya kuwapa msaada wa silaha.

UN kama kawaida yako yupo yupo tu hana makali anaishia kulalamika.
washasuluhisha sana ila hamas hawakomi , hata wewe ungekuwa ndo Netanyau ungefanya hivyo hivyo
 
Mpuuzi mmoja wewe , unajua maana ya multiple entry underground tunnels and bunkers system ?,we unadhani kulipua au kuziba entry point moja ndio unakuwa umeua watu walioko huko mita 20 mpaka thelathini chini ya ardhi ?
Fool
mkuu umeguswa sana au upo underground huko Gaza city
 
Akijibu ktk nchi au jeshi lenye nguvu sawa hakuna noma. Akipiga raia kama anavyofanyaga naye atapigiwa raia wake vile vile. Na akikutana na nchi yenye nguvu ya anga sijui hizo ndege zake anazojidai nazo Gaza ataziweka wapi
hoja yako ni ipi? raia wa gaza kaskazin si waliambiwa wapishe ulingoni? je hamas aliwaambia raia wa israel wapishe
 
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, wakazi wa miji na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko kwenye mpaka wa Lebanon wanakimbia kwa umati kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika historia ya Israel sambamba na kuendelea Hizbullah ya Lebanon kuyapiga kwa makombora maeneo tofauti ya utawala wa Kizayuni kama sehemu ya kuwaunga mkono wananchi wa Ghaza.
Televisheni ya al Mayadeen imevinukuu vyombo vya habari vya Kizayuni vikitangaza kuwa, miji na vijiji vyote vya eneo la al Khalil al A'laa pamoja na kituo kikuu cha komandi kuu ya kijeshi ya Israel wamekimbia eneo hilo kwa kuhofia mashambulizi ya wanamapambano wa Kiislamu. Vyombo hivyo vya Israel vimesema, hadi hivi sasa haijawahi kutokea wimbi kubwa kiasi hiki cha Wazayuni kukimbia maeneo yao tangu ulipounda utawala pandikizi wa Kizayuni zaidi ya miaka 75 iliyopita.
Vyombo hivyo vya Kizayuni vimesema, tangu Hizbullah ya Lebanon ilipoanzisha mashambulizi ya kuwaunga mkono wananchi wa Ghaza, makumi ya vitongoji vya walowezi wa Kizayuni karibu na mpaka wa Lebanon vimebaki vitupu bila ya watu. Lakini kuondoka kikamilifu watu wote katika miji ya eneo la al Khalil al A'laa ni jambo ambalo halijawahi kutokea katika historia yote ya utawala wwa Kizayuni wa Israel.

4c3q41086d84102dko1_800C450.jpg

Huku hayo yakiripotiwa, harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeendelea kuyapiga kwa makombora maeneo tofauti ya Israel ikiwa ni kuwaunga mkono wanamapambano wa Palestina wanaendesha mapambano ya kishujaa kwenye Ukanda wa Ghaza pamoja na wananchi madhlumu lakini wenye nguvu na subira kubwa wa ukanda huo.
Taarifa zinasema kuwa, jana pia Hizbullah iliitwanga kwa makombora kambi ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
Televisheni ya al Mayadeen imetangaza katika ripoti yake nyingine kwamba, Hizbullah ya Lebanon imejibu jinai za Israel za kushambulia hospitali za Ukanda wa Ghaza kwa kuipiga kwa makombora kambi ya kijeshi ya al Asi ya utawala wa Kizayuni, kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni
Ndio hiv mnashangilia kichapo kikirud mnaanza kulia lia kama watoto wa kambo
 
washasuluhisha sana ila hamas hawakomi , hata wewe ungekuwa ndo Netanyau ungefanya hivyo hivyo
Inamcoast kidplomasia sasa hivi mwenzake nchi za kiarabu ambazo alianza kujenga nazo uhusiano mzuri zishamkataa,kuna nchi nane zimeondoa mabalozi. Nchi zote za ulaya kuna maandamano mfululizo ya watu zaidi ya 100k.Rais wa ufaransa nao kalainika,kwenye baraza huko la maseneta US baada ya presha ya maandamano kuwa kubwa wanataka kuzuia hela wanazotaka kumpa kwa ajili ya kununua silaha.
 
Tunapo sema waislamu ni magaidi muwe mnaelewa
Kwa mfano hapo walio lipua Israel ni magaidi wa kiislam na hakuna muislam hata mmoja amekemea hilo swala.
Warejee walipokua kabla ya mwaka 48 uone kama hatuta laani wakipigwa wakiwa kwao
 
Kwa hiyo,taifa la Israel halikuwepo miaka ya nyuma au? Mi sijapata hisoria ya hii nchi. Mi nimeona kwenye ramani kama Palestina imezingirwa na Israel. Sasa najiuliza nchi moja ndani ya nyingine!!!
Israhell waliokotwa okotwa tu watu walodai kuchinjwa na Hitler mwaka 48 huko Europe wakaja wakaekwa hapo na UK na Us angalizo hata hayo mauaji ya holocaust niyakutunga tu hayana ukweli wowote ule
 
wayahudi walikufa wangapi, na majengo israel yalibomolewa mangapi? na kwa upande wa pili ninavyokumbuka, Beiruti ilichakaa kabisa magorofa yalisawazishwa na walebanoni including hezbollah walikuwa wengi zaidi. hapo utasema hezbolah walishinda? kama hujui, idadi ya wayahudi 1400 ndio idadi ya wayahudi wengi zaidi kufa katika uvamizi wa magaidi, zamani ulikuwa unakuta muisrael mmoja akifa wapalestina wanakuwa si chini ya 20 au hata 100.na bado kuna watu wanasema israel alishindwa vita.
Alokwambia kama kuua watu wengi na kuharibu sana majengo ndio kushinda vita nani mdogo wangu sijui kaka angu
Kwenye vita kunakua na malengo yalokupeleka vitani na haya kama hayajatimia hata kama utakua umeua raia wote wa taifa ama sehemu husika basi hio vita hujashinda ila umepeleka hasara na mauaji makubwa labda kwampizani
Nyau kaishatangaza malengo makuu ya kwanini kaingia vitani na hamas
kwanza kuokoa raia wake nawakigeni zaidi ya 200 walotekwa na hamas
Pili kuhakikisha hakuna tena kundi linaitwa hamas akitekeleza yote haya atakua kashinda vita akitekeleza moja atakua kafikia nusu ya malengo huu ndio ushindi kwenye vita
Ingekua vita ili ushinde watu wafe sana na majengo kuharibika basi RUSSIA [emoji635] muda huu wangekua washaondoa majeshi yao UKRAINE [emoji1255] sababu washakufa zaidi ya watu 500000 wa Ukraine [emoji1255] na nchi imebomoka vibayaaa
 
nije nivuruge nyumba yako mimi ya kwangu bado nzuna akafyu seme umenishinda. utakuwa huna akili.
 
wayaudi walikwepo hapo miaka na miaka ila waarab wanajaribu kutuonesha kuwa wayaudi na wazayuni wote walikuja mwaka 1948 na hakukuwa na myaudi wala mzayuni aliyekwepo hapo karne kati ya 7 na 19 , waarab wamefanikiwa kuudanganya ulimwengu
Wayahudi walikuwepo hapo kuanzia mwaka ghan hadi mwaka ghan?
Hizi story za bible hasihalalishi kuvamia ardhi ya mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom