Hizbullah yaitwanga tena kwa makombora Israel, Wazayuni wakimbia kwa umati

Mpuuzi mmoja wewe , unajua maana ya multiple entry underground tunnels and bunkers system ?,we unadhani kulipua au kuziba entry point moja ndio unakuwa umeua watu walioko huko mita 20 mpaka thelathini chini ya ardhi ?
Fool
 
Hamas ni majoga yanajificha hospital za raia...kama ndio shield yao ....raia wote wanaombwa watoke humo ......ngoma wanashusha kutu kizito walio mahandaki watajua .........ndio kaburi lao milele
Mpuuzi mmoja wewe , unajua maana ya multiple entry underground tunnels and bunkers system ?,we unadhani kulipua au kuziba entry point moja ndio unakuwa umeua watu walioko huko mita 20 mpaka thelathini chini ya ardhi ?
Fool
 
Mpuuzi mmoja wewe , unajua maana ya multiple entry underground tunnels and bunkers system ?,we unadhani kulipua au kuziba entry point moja ndio unakuwa umeua watu walioko huko mita 20 mpaka thelathini chini ya ardhi ?
Fool
Kwani Israel unadhani hawakui hizo multiple entries? Ziba zote.....wanazijua zote ...supply zote maji na ocygen wanazijuaa....ungetulia .....kusaka amabi Hamas wamelikanyaga....with time systems zaozote za underground zitakuwa compromised....suala muda tu ....hutaki acha
 
Israel nao wakijibu utasikia wafia dini wa msanga wanavyokaukwa mate kuilaani 'Isarael'😀
Akijibu ktk nchi au jeshi lenye nguvu sawa hakuna noma. Akipiga raia kama anavyofanyaga naye atapigiwa raia wake vile vile. Na akikutana na nchi yenye nguvu ya anga sijui hizo ndege zake anazojidai nazo Gaza ataziweka wapi
 
Hezbollah 2006 iliwachapa Israel ikaomba amani🤣🤣🤣
 
Mvua ya mabom ikianza kunyesha Lebanon usianze kulia humu ufurahi kama ulivyo report hii taarifa kwa tabasamu
 
Kwa hiyo,taifa la Israel halikuwepo miaka ya nyuma au? Mi sijapata hisoria ya hii nchi. Mi nimeona kwenye ramani kama Palestina imezingirwa na Israel. Sasa najiuliza nchi moja ndani ya nyingine!!!
 
Wewe ni mgonjwa ustaadh, ndio mlivyokuwa mnajazana ujinga ooh Israel hawezi ingiza jeshi Gaza, akili zenu mnazijua nyie wenyewe magaidi
Hizi mada na kushauriana na hawa maamuma wavaa kobazi na vitopu binafsi niliacha baada ya kuona hawajaposti wala andika au kuzungumzia chochote kuhusu mauaji ya watu 770 pale Sudan yaliyotekelezwa na waislamu wenzao. Hapo ndio niliwadharau sana. Nawashangaa mnavyoongea na kushauriana nao. Hawana akili hata moja hawa wavaa makobazi. Unapoteza muda wako, hapo ni sawa na kupigia mbuzi gitaa.
 
Uganda wakati huo walikuwa -6M, Palestina walikuwa hawafiki 1.5M...
 
Endelea na ushabiki maandazi huku wajahidina wenzio wanakula kisago ...
 
Kwa akili Yako nadhani unaamini hata Tunisia,Misri,Algeria,Morroco,Sudan,Somalia,Zanzibar nk. Ni ardhi za waarabu
 
Waislam wenzio wanauana Sudan hujawahi kuripoti.What is so special about the Gaza War?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…