mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa likizo kuna lori la kampuni ya bia lilidondoka mtaani kwetu, kufumba na kufumbua hakuna kreti ya bia hata moja, mtaa nzima kila mtu anelewa, tukapata taarifa kuwa polisi wanakuja ku search nyumba kwa nyumba, tulificha zile bia wiki nzima ilikuwani kufyonza tu Kilimanjaro mara Safari lol.
Mwaka 2015 nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za kilimo, semi trailer iliyobeba mbolea inapinduka karibu na shamba langu, mfuko mmoja wa mbolea ulikuwa haupungui 60,000. Wahuni waliiba zile mbolea tukauziwa mfuko 20,000.
Wale waliochomoa betri Morogoro wakageuka mishikaki RIP mlikufa kiume.
Utasema ni wizi kama wizi mwingine lakini kumbuka Mungu anajibu maombi kwa njia tofauti, sema Amen.