Hizi ajira za ualimu tulizopewa ahadi vipi huko (TAMISEMI 2024)

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Hivi mmesikia chochote kuhusu hizi ajira zilizoahidiwa kutolewa mwaka huu, maana TAMISEMI naona wapo kimya

Taarifa za awali tulizisikia muda mrefu na tukaambiwa mpaka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani ameshatoa kibali na kusaini ili ajira zitolewe mbona kimya sasa jamani

Kiukweli sina imani ya moja kwa moja ya kupata Ila napata matumaini na faraja ajira zikitolewa kwani linapunguza hili wimbi la jobless mtaani na zamu yangu itafika

TAMISEMI YETU TUNAWAAMINI NA TUNAWAPENDA

Kazi iendelee

Beautiful country
 
Hi nchi imekua ngumu mtu unawaza ajira ya serikali kweli kwa hali utapata stress bure.........jitafute mkuu.
 
Hivi mmesikia chochote kuhusu hizi ajira zilizoahidiwa kutolewa mwaka huu, maana TAMISEMI naona wapo kimya

Taarifa za awali tulizisikia muda mrefu na tukaambiwa mpaka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani ameshatoa kibali na kusaini ili ajira zitolewe mbona kimya sasa jamani

Kiukweli sina imani ya moja kwa moja ya kupata Ila napata matumaini na faraja ajira zikitolewa kwani linapunguza hili wimbi la jobless mtaani na zamu yangu itafika

TAMISEMI YETU TUNAWAAMINI NA TUNAWAPENDA

Kazi iendelee

Beautiful country
 
Mimi binafsi siajajua Ila nahisi zimekaa kimkakati

Life line up on the mirror.
 
Zitotoka mda ukifika ila nahisi zitaendana na tukio flani, ili graduate wasifuatilie hilo jambo watu wafanikishe yao.
 
Hebu fikiria tu ajira zenyewe zinawahusu wahitimu elu 12 tu! Na mtaani kuna wahitimu zaidi ya laki 1! Na katika hao wahitimu elfu 12, kuna ndugu wa wale wachambuaji wa hayo majina yenu!!

Aisee ningekuwa ndiyo mimi, ningeamua kusahau kabisa! Na hivyo kuwekeza nguvu zangu zote katika shughuli zangu binafsi.
 
Back
Top Bottom