Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Hivi mmesikia chochote kuhusu hizi ajira zilizoahidiwa kutolewa mwaka huu, maana TAMISEMI naona wapo kimya
Taarifa za awali tulizisikia muda mrefu na tukaambiwa mpaka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani ameshatoa kibali na kusaini ili ajira zitolewe mbona kimya sasa jamani
Kiukweli sina imani ya moja kwa moja ya kupata Ila napata matumaini na faraja ajira zikitolewa kwani linapunguza hili wimbi la jobless mtaani na zamu yangu itafika
TAMISEMI YETU TUNAWAAMINI NA TUNAWAPENDA
Kazi iendelee
Beautiful country