Hizi Alama Zina maana Gani kwenye Dawa ya mswaki?

Hizi Alama Zina maana Gani kwenye Dawa ya mswaki?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Habari ya Mda Poleni na Heka Heka ya Timuana ya Mlimani City Juzi.
.
Wakuu naomba kufahamishwa hizi alama kwenye dawa ya mswaki huwa zina maanisha nini?

Screenshot_20220513-094034.jpg
 
Sio kila dawa kazi yake ni kutibu. Zingine kazi yake ni kuzuia ugonjwa husitokee. Kwa hiyo anaetumia hiyo dawa anayakinga meno yake dhidi ya magonjwa ya meno.
Mkuu, kuna watu wanazitumia miaka tangu wazaliwe mpaka wanakufa lakini tatizo la meno halijakingwa na hizo zinazoitwa dawa, sasa zinaqualify vipi kuitwa dawa kama haziwakingi watu dhidi ya magonjwa
 
Kama umenunua hiyo nyekundu ujue ukifikisha miaka 60 unakuwa kibogoyo... Hiyo ndiyo maana yake.

Ukinunua ya kijani ujue utaapigwa sana mizinga na mademu zako...
 
Mkuu, kuna watu wanazitumia miaka tangu wazaliwe mpaka wanakufa lakini tatizo la meno halijakingwa na hizo zinazoitwa dawa, sasa zinaqualify vipi kuitwa dawa kama haziwakingi watu dhidi ya magonjwa
Hizo zinasaidia kupunguza harufu mdomoni (mtazamo wangu).
 
Back
Top Bottom