Hizi Alama Zina maana Gani kwenye Dawa ya mswaki?

Mkuu, kuna watu wanazitumia miaka tangu wazaliwe mpaka wanakufa lakini tatizo la meno halijakingwa na hizo zinazoitwa dawa, sasa zinaqualify vipi kuitwa dawa kama haziwakingi watu dhidi ya magonjwa

Kwani dawa ya 'minyoo' ni kwamba inawatibu na kuwaponya hao minyoo?
 
Mkuu, kuna watu wanazitumia miaka tangu wazaliwe mpaka wanakufa lakini tatizo la meno halijakingwa na hizo zinazoitwa dawa, sasa zinaqualify vipi kuitwa dawa kama haziwakingi watu dhidi ya magonjwa

Matatizo ya meno ni mengi, hivyo kukinga haimaanishi hutapata matatizo yote.

Kukinga maana yake:
1: Usipate tatizo husika kabisa.
2: Ukipata tatizo, lisilete madhara makubwa.
 
Mkuu, kuna watu wanazitumia miaka tangu wazaliwe mpaka wanakufa lakini tatizo la meno halijakingwa na hizo zinazoitwa dawa, sasa zinaqualify vipi kuitwa dawa kama haziwakingi watu dhidi ya magonjwa
Kwani hakuna wanaokingwa? Kwani madawa yaliyotumika kuwatibu wagonjwa kadhaa huko hospitalini na wakafariki yanaondolewa kuwa sio madawa?
 
Back
Top Bottom