Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Asante Kwa masahihisho acha wataalamu wanaojua wajeNi dawa ya meno, si ya mswaki.
Kuhusu alama sijui. Labda zianawakilisha Simba na Yanga.
Ni barcode kwa ajili ya dawa husika au barcode kwa ajili ya kampuni inayozalisha hizo dawa?Barcode
Yote yanaweza kuwa majibuNi barcode kwa ajili ya dawa husika au barcode kwa ajili ya kampuni inayozalisha hizo dawa?
Wakuu Habari ya Mda Poleni na Heka Heka ya Timuana ya Mlimani City Juzi.
.
Wakuu naomba kufahamishwa hizi alama kwenye dawa ya mswaki huwa zina maanisha nini?
View attachment 2222494
Hili ndio jibuBlue: Natural+ Medicine
Green: All Natural
Red: Natural + Chemicals
Black: All Chemicals
Nimeitoa mahali
Uko sahihi, ndivyoBlue: Natural+ Medicine
Green: All Natural
Red: Natural + Chemicals
Black: All Chemicals
Nimeitoa mahali
Weka picha ya hio dawa isiyo na alama. Sio mzizi wa kupatia madem kweli?Kuna dawa natumia hapa na haina hiyo alama. Kuna anayetumia Aha! Hapa?
Umeitos wapi? Hicho kiwanda bado kipo?Kuna dawa natumia hapa na haina hiyo alama. Kuna anayetumia Aha! Hapa?
SIjawahi sikia mtu ametibiwa meno yanayouma na dawa zinazoitwa za menoNi dawa ya meno, si ya mswaki.
Sio kila dawa kazi yake ni kutibu. Zingine kazi yake ni kuzuia ugonjwa husitokee. Kwa hiyo anaetumia hiyo dawa anayakinga meno yake dhidi ya magonjwa ya meno.SIjawahi sikia mtu ametibiwa meno yanayouma na dawa zinazoitwa za meno
AiseeSio kila dawa kazi yake ni kutibu. Zingine kazi yake ni kuzuia ugonjwa husitokee. Kwa hiyo anaetumia hiyo dawa anayakinga meno yake dhidi ya magonjwa ya meno.
Vipi nimebugi maana mimi sio daktari?Aisee
Mkuu, kuna watu wanazitumia miaka tangu wazaliwe mpaka wanakufa lakini tatizo la meno halijakingwa na hizo zinazoitwa dawa, sasa zinaqualify vipi kuitwa dawa kama haziwakingi watu dhidi ya magonjwaSio kila dawa kazi yake ni kutibu. Zingine kazi yake ni kuzuia ugonjwa husitokee. Kwa hiyo anaetumia hiyo dawa anayakinga meno yake dhidi ya magonjwa ya meno.
Hizo zinasaidia kupunguza harufu mdomoni (mtazamo wangu).Mkuu, kuna watu wanazitumia miaka tangu wazaliwe mpaka wanakufa lakini tatizo la meno halijakingwa na hizo zinazoitwa dawa, sasa zinaqualify vipi kuitwa dawa kama haziwakingi watu dhidi ya magonjwa