Kabisa
Kama watoto watanililia waambie kesho nitareja, wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea!Nimeona wachaga wanalalamika kupewa basikeli mbovu
Jana nikaenda kwa mjumbe rafiki yangu ananionyesha box la baiskeli
nkamwonyesha hii picha walizogaiwa moshi nkamshauri wauzie wanyasa kabla ujaliaa
now anakunywa pale Manville pub
Swali hizi basikelii za nani nani amenunua na kwa pesa ya nani
Na zifanyie nini anyway
Wajumbe mje mtupe hints kidogoo
We bwege umeandika nini kasome tenaNimeona wachaga wanalalamika kupewa basikeli mbovu
Jana nikaenda kwa mjumbe rafiki yangu ananionyesha box la baiskeli
nkamwonyesha hii picha walizogaiwa moshi nkamshauri wauzie wanyasa kabla ujaliaa
now anakunywa pale Manville pub
Swali hizi basikelii za nani nani amenunua na kwa pesa ya nani
Na zifanyie nini anyway
Wajumbe mje mtupe hints kidogoo
Nimeona wachaga wanalalamika kupewa basikeli mbovu