Hizi bilioni Kumi za vikundi mbona hakuna kikundi kijijini kinachodaiwa? Waliolipwa ni wakina nani?

Hizi bilioni Kumi za vikundi mbona hakuna kikundi kijijini kinachodaiwa? Waliolipwa ni wakina nani?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Hizi fedha zilitolewa Kwa ajili ya viongozi wa CCM, wakagawana Kwa mgongo wa kijiji. Hakuna mwana ACT wala CHadema wala chama kingine cha siasa aliyepewa hizi fedha.

Zilichukuliwa zikapelekwa kwenye matawi ya CCM wakagawana. Hii NI mara ya pili zoezi kama ili linafanyika, yalitolewaga mabilioni ya JK miaka Ile, fedha zote wakachukua viongozi wa chama kisha project ikafutwa. I think hapa hakuna chakuficha waliopewa fedha NI viongozi WA chama na Kwa maana hiyo hakuna hatua itachukiliwa.

Katika logic yakawaida unaweza kujiuliza hizi fedha zilikuwa zinapitishwa vipi? Waliokuwa wanapitisha WA walizipitishaje nakuwapa wananchi wasiowafahamu? Hivyo vikundi vipo wapi Leo hii?

Tunapoambiwa mabilioni yamefutwa means tunaambiwa mission imekamilika na Wana CCM wameshapunguza ukali WA maisha, tusubiri waje na njia nyingine yakuwagawia wanachama wao fedha za umma life liendeleee
 
Hivyo ni vikundi vya chawa wa CCM.
 
Hii ni kuwapoza vibaka huku chini, wanalalamika wanakosa asali, majambazi huko juu full kuenjoy.
 
Back
Top Bottom