Hizi dawa wanauza wamasai zinatibu kweli?

Hizi dawa wanauza wamasai zinatibu kweli?

gcmmedia

Member
Joined
Jul 19, 2024
Posts
49
Reaction score
96
Juzi katika pita pita jijini Dar es Salaam nakutana na Maasai mmoja ananiambia aniuzie dawa inaotesha nywele (aliona kipara kinanianza); nimejiuliza hili swali “hivi hizi dawa wanauza maasai zinatibu kweli?”

Mwenye ushuhuda aniambie
 
Hata usijisumbue acha huo upara uje.
Kuna dawa nyingi sana nyingine ni bei haswa ila hazioteshi nywele.
 
Kuotesha nywele mkuu hapo jiongeze mwenyewe Ila Kwa mishipa Kama mboo NI kweli zinatibu machine inasimama kweli Kama msumali.
 
Back
Top Bottom