gcmmedia Member Joined Jul 19, 2024 Posts 49 Reaction score 96 Apr 13, 2025 #1 Juzi katika pita pita jijini Dar es Salaam nakutana na Maasai mmoja ananiambia aniuzie dawa inaotesha nywele (aliona kipara kinanianza); nimejiuliza hili swali “hivi hizi dawa wanauza maasai zinatibu kweli?” Mwenye ushuhuda aniambie
Juzi katika pita pita jijini Dar es Salaam nakutana na Maasai mmoja ananiambia aniuzie dawa inaotesha nywele (aliona kipara kinanianza); nimejiuliza hili swali “hivi hizi dawa wanauza maasai zinatibu kweli?” Mwenye ushuhuda aniambie
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 8,698 Reaction score 17,114 Apr 13, 2025 #2 Mbona wewoo
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,245 Reaction score 42,008 Apr 13, 2025 #3 Hata usijisumbue acha huo upara uje. Kuna dawa nyingi sana nyingine ni bei haswa ila hazioteshi nywele.
Hata usijisumbue acha huo upara uje. Kuna dawa nyingi sana nyingine ni bei haswa ila hazioteshi nywele.
The Coin Man JF-Expert Member Joined Jan 2, 2025 Posts 1,471 Reaction score 1,879 Apr 13, 2025 #4 Kuotesha nywele mkuu hapo jiongeze mwenyewe Ila Kwa mishipa Kama mboo NI kweli zinatibu machine inasimama kweli Kama msumali.
Kuotesha nywele mkuu hapo jiongeze mwenyewe Ila Kwa mishipa Kama mboo NI kweli zinatibu machine inasimama kweli Kama msumali.