Hizi Dini bwana

Hizi Dini bwana

Kwahiyo huyu naye anaitwa BABA MCHUNGAJI,?watu wanakuwa mazwazwa sana,yaani upo busy na michezo ya kitoto eti Mungu sasa huyu siakafanye mazingala ombwe zunguni primary school
Manina nimerudi home hapa kichwa kina ganzi hatari mixer bipolar na kisukari kipo juu nimeingia humu JF nakutana na hiki kituko imenibidi nicheke kwa sauti.
 
Kila mtu na ujinga wake hapo wpo wenye phd,degree na diploma zao wanapiga makofi kwa bashasha zote.
Kuna kundi jingine la wajinga hawa wanunua vitabu vya akina yeriko nyerere na Eric kaflag hawa wote na watu wa dini wajinga wa mwisho ni mitaji mikubwa sana ya wakina kabendera na wakina mwamposa.
Umesahau lile kundi la wajumbe hapa Dom
 
Back
Top Bottom