Hizi ‘Dressing Code’ za Rais Magufuli nimezielewa

Hizi ‘Dressing Code’ za Rais Magufuli nimezielewa

Mzee baba yupo ndani lakini raba kubwaaa na mcape wa haja. Hilo shati lake na hiyo suruali nadhani ni nguo zake za usiku maana hata siku ya kukaribisha mwaka 2019 alitokelezea nazo usiku. Mzee baba hoyeeee
😂😂 una kumbukumbu
 
Mie nimependa kuna Mtu kaambiwa Na Rais nyie mnaokula shangilieni akamwambia Na Wewe tutokeee hapo, duuh anamjibu jibu Rais wetu Bila ya adabu
Ilo haliitaji PhD kuling'amua maana alikuwa anaongea kwa kutania kama baba na wao wakajibu kwa kutania kumbuka hiyo ni familia yake
Na mababa wote hua tunapenda kuleta midhaha na matani kwa familia zetu

All in all inaonyesha ni jinsi gani Rais alivyokuwa karibu na familia yake kwa majibizano hayo ya kiutani tofauti na watu wengi walivyotuaminisha eti Rais ni mkali na hana maoengezi ya kiutani na familia yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom