Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,107
- Thread starter
- #81
Walahi avatar yako imenipunguzia machungu...ila tutambuane kwanza.Haha..poye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walahi avatar yako imenipunguzia machungu...ila tutambuane kwanza.Haha..poye
MakuuubwaWakati Wewe " ukipovuka " kwa kutoa Wosia wako wenzako mpaka sasa " tunavua tu Samaki " kutoka katika Bwawa la JF na " tunawala " kwa raha zetu.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]kweli eenh! naomba namba yako basi nami nimalize mchezo
WeweAcha ukiboro dinda mkuu kwa watu usiowajua, utaangukia domo la fisi utajuta..
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji87]Mangi ni pm ID ya dada ako..
Pole mangi! chakufanya sasa nipe # yake mimi, ili mimi na wewe tuwe mashemeji!!Katika kutimiza haja zangu za kirijali leo nimejikuta namtupia mistari binti mmoja maarufu humu ukumbini kwa mfumo wa PM. Sikupata adha ya kuporomoshewa mitusi Kama wadau wengine wanavyolalamikaga kuwa ukimPM binti humu ndani anakumwagia mitusi. Hali ilikuwa shwari mpaka ulipowadia Muda wa kubadilishana contact. Nilipoiweka namba yake kwenye kisemeo changu, lahaula...kumbe ni ni ndugu kabisaaaa...Hali kadhalika na kwake. Tumeombana misamaha na ninaamini yatabaki pale pale. Tuwe makini wadau unaweza tongoza Mkeo. Naamini anaisoma hii sredi, sister..nimeiweka hapa ili iwe fundisho kwa wengine.
We ndo dada yake Mangi nn?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji87]
Ngoja tujaribu mkuuMkuu hebu na sisi tujaribu kukutana kule PM unitumie namba yako nione km ni ndugu ama sio ndugu yangu
Nitumie hela ya bia kadhaa,Mangi ni pm ID ya dada ako..
Ntamuachia dada yako..AtakuleteaNitumie hela ya bia kadhaa,
Napiga, afu namwambia mshua umeoa kimeo...hahahahah!!! Just kiddingThe teh pole sana mkuu, hivi itakuwaje unakuta ni mama ako wa kambo!!!!
Katika kutimiza haja zangu za kirijali leo nimejikuta namtupia mistari binti mmoja maarufu humu ukumbini kwa mfumo wa PM. Sikupata adha ya kuporomoshewa mitusi Kama wadau wengine wanavyolalamikaga kuwa ukimPM binti humu ndani anakumwagia mitusi. Hali ilikuwa shwari mpaka ulipowadia Muda wa kubadilishana contact. Nilipoiweka namba yake kwenye kisemeo changu, lahaula...kumbe ni ni ndugu kabisaaaa...Hali kadhalika na kwake. Tumeombana misamaha na ninaamini yatabaki pale pale. Tuwe makini wadau unaweza tongoza Mkeo. Naamini anaisoma hii sredi, sister..nimeiweka hapa ili iwe fundisho kwa wengine.
Take risk mkuu, Kama unataka utamu wa kichagaNtamuachia dada yako..Atakuletea