Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Hahahaha punguza hasira mkuu! Kuna mtu kanishangaza sana hapo juu kuiponda Toyota IQ..



Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Bora hata mbwa mkuu. Kuna watu wanadharau asee
 
.....na wengi wanaotetea huu uzi, ndiyo hawa waliokusanyika hapa..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1505617
Kipindi sipo na gari hakuna kitu nilikuwa sikipendi kama kutoka au kwenda kwenye shughuli zangu hasa wakati wa mvua.

Mvua ilinifanya nione gari ni kipaumbele kuliko nyumba.
 
Waswahili masikini utawajua tu ...saikolojia ya binadamu iko hv...yaani kama kitu hawezi kukipata au kumiliki basi ataishia kukiponda na nyodo tu na post zenu zinaonesha humu wengi ni masikini waswahili waliopanga nyumba kwa kutegemea vitunguu ....Kama hamuyapend basi kanunue Lamborghini au tengenezeni ya kwenu kama hata njiti za kiberiti hamuwezi tengeneza....uswahili ni laana humo Kuna umaskini ujeuri na nyodo full laana...acheni uswahili na nyodo za kike..

Unadhani waliotengeneza hayo magari wanakujua ww kapuku wa babati ....watu billions zimewatoka alf ww kapuku unaleta uswahili...na hii ndo sababu tosha Africans hawaendelei.....kwenye uzi wangu hizi tabia niliorodhesha.....watu wanaumiza vichwa wanatengeneza magari nyie mnakaa mnajadiri magari Kama mlichangia kwenye manufacturing...worthless creatures...
 
Haya ni yale ukipishana na lori na wewe dereva humo ndani unabidi ukwepe pia
 
Kweli kabisa mkuu, mie nina ami angu ana Landcruiser V8, Noah na Jeep wrangler ila zaidi anatembelea Passo.
 
Hizo gari mm nikiziona najisikia vibaya tu moyoni, utafikiri tulikosana nazo, sijui car makers walifunga macho wakatengeneza body za ajabu hivyo.
asee mm hasa hasa nkiona nadia yaan najiskia vbaya knoma
 
Mi naona kuna baadhi wa wadudu wanatizama alivyo ndio wanafyatua gari kama huyo mdudu
n kwel asee maana mjapan ana matoleo mengi ya magari mpaka kaishiwa mfano ukiangalia vzuri toyota allex na toyota Run X hazna tofaut yaan n gari moja ila ina majna mawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…